William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani.
Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7.
Wakati shirikisho kati ya mechi 6 kashinda 4. Kashinda mechi nyingi shirikisho kwenye mechi 6 kuliko kwao alipocheza mechi 23. Haya ndio maajabu ya shirikisho mwaka huu.