Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Chelsea anashika mkia au kushuka daraja Kaka. Time imeshinda mechi 3 tu Kati ya 23 inaongoza kundi shirikisho. Inafikirisha sanaWe bwege kweli, Chelsea kafuzu UEFA kwaiyo tim ni zaifu au?
Hiyo kablyie kutoka Algeria mbona ni ya pili kutoka mwisho kwenye ligi yao na imepenya robo huko club bingwa mbona haushangai?Mtu yoyote mwenye akili timamu ni lazima akubali kuwa team babe Africa zote ziko CAFCL.
Mamelod Sundowns, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Al Ahly, Es de Tunis, Simba Sc, As Kablye , CR Belouzdad.
Hayo mateam huwezi kuyafananisha na team zilizoko huko Shirikisho, labda uwe kichaa kama jinsi walivyo mashabiki wengi wa Yanga.
Lakini pia team zilizoko shirikisho msimu huu nyingi ni magarasa tofauti na ule msimu ambao Simba Sc alikuwa akishiriki, fikiria msimu huu mpaka Rivers Utd, ASEC Mimosas, Marumo Gallants na team nyinginezo mbovu zimepita robo fainali, kisha urudi kuangalia quater finalist wa msimu ule.
Yanga kujaribu kuweka usawa kati ya mashindano anayoshiriki Simba Sc na yale wanayoshiriki wao ni UKICHAA.
Kablyie ni ya pili kutoka mwisho ligi ya Algeria lkn wapo huko club bingwa unapojida!! Ww ni mpumbavuHilo linaitwa kombe la loser hakuna timu kubwa iliyokuwa vizuri utakayoona inacheza huko ukiona ww upo huko ujue ww upo katika kombe dogo yaan loser kombe kubwa linaitwa CAF champion huko utakutana na mabingwa wa kila nchi na mshindi wa pili huwezi kuta mshindi wa tatu that why champions league inakuwa ngumu kwakuwa kuna mabingwa lakin huko kwa loser mtu anashuka daraja eti anaongoza kundi tukisema hilo ni kombe la loser muwe mnaelewa fisi maji nyie[emoji16][emoji16][emoji16]
@William Mshumbusi kabilyie yupo club bingwa huko mlipo na yupo mkiani kwenye ligi ya kwao kashinda mechi 3 tu kati ya 17 alizocheza. Tukisema ninyi ni mbumbumbu tunamaanishaKwani Chelsea anashika mkia au kushuka daraja Kaka. Time imeshinda mechi 3 tu Kati ya 23 inaongoza kundi shirikisho. Inafikirisha sana
NAfikiri tugange yajayoMleta uzi Tuendelee na msimamo au tuyaache?
Vipi tuendelee na mada? Au tuyaache? 😄Hilo linaitwa kombe la loser hakuna timu kubwa iliyokuwa vizuri utakayoona inacheza huko ukiona ww upo huko ujue ww upo katika kombe dogo yaan loser kombe kubwa linaitwa CAF champion huko utakutana na mabingwa wa kila nchi na mshindi wa pili huwezi kuta mshindi wa tatu that why champions league inakuwa ngumu kwakuwa kuna mabingwa lakin huko kwa loser mtu anashuka daraja eti anaongoza kundi tukisema hilo ni kombe la loser muwe mnaelewa fisi maji nyie😁😁😁
Mikia FC njooni sasa.Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani.
Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7.
Wakati shirikisho kati ya mechi 6 kashinda 4. Kashinda mechi nyingi shirikisho kwenye mechi 6 kuliko kwao alipocheza mechi 23. Haya ndio maajabu ya shirikisho mwaka huu.
View attachment 2575924
Ushindi ni ushindi tu!
Rage FC mnaendeleaje huko Shirikisho. Tunafufua makaburi tu.Kwani Chelsea anashika mkia au kushuka daraja Kaka. Time imeshinda mechi 3 tu Kati ya 23 inaongoza kundi shirikisho. Inafikirisha sana
Kweli wewe ni mfufua nyuzi.Mleta uzi Tuendelee na msimamo au tuyaache?