Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

Kabylie anashuka daraja na anacheza robo fainali ya klabu bingwa
IMG_20230404_174041.jpg
 
Ndugu Mbumbumbu inawezekana mambo ya mpira huyafahamu vizuri, Mwaka 2010 Portsmouth ambayo ilikua tayari imekata tiketi ya kushuka daraja kutoka Premier league kwenda Champion ship ilifaniliwa kucheza Final ya FA na Chelsea.
Ivyo si jambo a kushangaza katika mpira wa miguu.
Sasa FA Cup na lenyewe si kama kombe la mbuzi tu,

Kombe ambalo club kubwa huchezesha kikosi cha pili sababu halina umuhimu
 
Kweli?

Aisee elimu yako ni ya kidato cha ngapi na ufaulu wako ulikuwaje?

Kabylie anacheza robo fainali klabu bingwa ilihali kwenye msimamo wa ligi yao yupo mkiani.

Na nilikuwa namjibu mleta mada aliyeiponda kuhusu timu za shirikisho
IMG_20230404_211141.jpg
IMG_20230404_211248.jpg
 
Washabiki wa Simba bana, kabla ya makundi ilikuwa yanga anaenda kulitia Taifa aibu!!. Yanga kafuzu kwa kishindo akiongoza kundi huku akimpusua mbabe wa Afrika mashariki Tp Mazembe nje/ndani,
Saizi wekuja na vihoja vya eti shirikisho kuna timu zinashuka daraja 😅😅. Tulieni tuwakandie atakayekuja mbele.... Wanaume kwenye hii huanzia ugenini na kumalizia nyumbani ..
UnajitoA ufahamu eti.
 
Back
Top Bottom