Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani.

Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7.

Wakati shirikisho kati ya mechi 6 kashinda 4. Kashinda mechi nyingi shirikisho kwenye mechi 6 kuliko kwao alipocheza mechi 23. Haya ndio maajabu ya shirikisho mwaka huu.

View attachment 2575924
waache marumo washuke daraja si wameamua wenyewe ya nn kuwapangia?
 
Mtu yoyote mwenye akili timamu ni lazima akubali kuwa team babe Africa zote ziko CAFCL.

Mamelod Sundowns, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Al Ahly, Es de Tunis, Simba Sc, As Kablye , CR Belouzdad.

Hayo mateam huwezi kuyafananisha na team zilizoko huko Shirikisho, labda uwe kichaa kama jinsi walivyo mashabiki wengi wa Yanga.

Lakini pia team zilizoko shirikisho msimu huu nyingi ni magarasa tofauti na ule msimu ambao Simba Sc alikuwa akishiriki, fikiria msimu huu mpaka Rivers Utd, ASEC Mimosas, Marumo Gallants na team nyinginezo mbovu zimepita robo fainali, kisha urudi kuangalia quater finalist wa msimu ule.

Yanga kujaribu kuweka usawa kati ya mashindano anayoshiriki Simba Sc na yale wanayoshiriki wao ni UKICHAA.
Nani alikwambia huko utopoloni kuna mtu mwenye akili ukiacha mzee Manara na mzee kikwete?
 
Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani.

Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7.

Wakati shirikisho kati ya mechi 6 kashinda 4. Kashinda mechi nyingi shirikisho kwenye mechi 6 kuliko kwao alipocheza mechi 23. Haya ndio maajabu ya shirikisho mwaka huu.

View attachment 2575924
Eti huyu ndiye aliyekuwa akimtetea Fei Toto kwenye mgogoro wake na Yanga! 🤔
 
Mtu yoyote mwenye akili timamu ni lazima akubali kuwa team babe Africa zote ziko CAFCL.

Mamelod Sundowns, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Al Ahly, Es de Tunis, Simba Sc, As Kablye , CR Belouzdad.

Hayo mateam huwezi kuyafananisha na team zilizoko huko Shirikisho, labda uwe kichaa kama jinsi walivyo mashabiki wengi wa Yanga.

Lakini pia team zilizoko shirikisho msimu huu nyingi ni magarasa tofauti na ule msimu ambao Simba Sc alikuwa akishiriki, fikiria msimu huu mpaka Rivers Utd, ASEC Mimosas, Marumo Gallants na team nyinginezo mbovu zimepita robo fainali, kisha urudi kuangalia quater finalist wa msimu ule.

Yanga kujaribu kuweka usawa kati ya mashindano anayoshiriki Simba Sc na yale wanayoshiriki wao ni UKICHAA.
Kwenye hao mashabiki wa yanga vichaa mimi simo tafadhali.
 
Washabiki wa Simba bana, kabla ya makundi ilikuwa yanga anaenda kulitia Taifa aibu!!. Yanga kafuzu kwa kishindo akiongoza kundi huku akimpusua mbabe wa Afrika mashariki Tp Mazembe nje/ndani,
Saizi wekuja na vihoja vya eti shirikisho kuna timu zinashuka daraja 😅😅. Tulieni tuwakandie atakayekuja mbele.... Wanaume kwenye hii huanzia ugenini na kumalizia nyumbani ..
 
Y

Wasijali

Subiri tuwakande wao hiyo tarehe 16/04/2023 ndo wapate akili
 
Nawaona Utopolo fainali.

Ndio Mabingwa watarajiwa wa Kombe la Shirikisho mwaka huu.
Kimoyo moyo hapo unatukana huku ukisema eeh "Mungu naomba Hawa kenge wapangwe hapo kesho na timu ya waarabu Ili watolewe mapema tupumue hapa mjini'
 
Hilo linaitwa kombe la loser hakuna timu kubwa iliyokuwa vizuri utakayoona inacheza huko ukiona ww upo huko ujue ww upo katika kombe dogo yaan loser kombe kubwa linaitwa CAF champion huko utakutana na mabingwa wa kila nchi na mshindi wa pili huwezi kuta mshindi wa tatu that why champions league inakuwa ngumu kwakuwa kuna mabingwa lakin huko kwa loser mtu anashuka daraja eti anaongoza kundi tukisema hilo ni kombe la loser muwe mnaelewa fisi maji nyie😁😁😁
 
Povu la nini mkuu
 
Msimu uliyopita umecheza hilo kombe vipi ulilichukua au ulipakwa mafuta kunako ....😅
 
Povu la nini mkuu
Hilo ni kombe la loser huwezi kuona mamelod au al ahyl yupo huko kwa kuwa wao ni mabingwa na siku ukiona yupo huko ujue kashuka kiwango ilo ni kombe la vibonde hakuna timu kubwa inaweza kucheza shirikisho na ukiona timu kubwa ipo shirikisho ujue kiwango kimeshuka saana 😇😇
 
Sisi tupo kombe la mabingwa huku ndio kwetu hata super league ikianza sisi tutakuwepo kwakuwa sisi ni wakubwa ila sio nyie mpo kombe la loser na hamtakuwepo super league kwakuwa nyinyi vibonde 😂😂
Hakuna aliyewauliza mpo wapi

Nyie kaeni huko Kwa Raha zenu

Ila msisahau kikombe cha Robo Fainali hakina Silverware Wala medali
 
Back
Top Bottom