Mtu yoyote mwenye akili timamu ni lazima akubali kuwa team babe Africa zote ziko CAFCL.
Mamelod Sundowns, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Al Ahly, Es de Tunis, Simba Sc, As Kablye , CR Belouzdad.
Hayo mateam huwezi kuyafananisha na team zilizoko huko Shirikisho, labda uwe kichaa kama jinsi walivyo mashabiki wengi wa Yanga.
Lakini pia team zilizoko shirikisho msimu huu nyingi ni magarasa tofauti na ule msimu ambao Simba Sc alikuwa akishiriki, fikiria msimu huu mpaka Rivers Utd, ASEC Mimosas, Marumo Gallants na team nyinginezo mbovu zimepita robo fainali, kisha urudi kuangalia quater finalist wa msimu ule.
Yanga kujaribu kuweka usawa kati ya mashindano anayoshiriki Simba Sc na yale wanayoshiriki wao ni UKICHAA.