William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Yapi hayo ambayo hajayapata?Ngada fc mnateseka sana na mafanikio ya Yanga.
Subirini April 16 tuwapige pumbuu once again
Kumpaka mafuta mazembe home and away, timu lenu bovu limewahi fanya hivyo pamoja na ushirikina wenu?Yapi hayo ambayo hajayapata?
Tena nawaombea wakutane na sundowns wapigwe kama ngomaAggregate ya simba ikiwa chini ya 5 mniuwe ..makolo wanaenda kuhaibisha Taifa
Huu woga ndio unaowafanya kila mwaka muwe mnacheza kombe la waliofeli Maana mnaogopa Sana aibu . Mwanaume wa kweli hawi mwoga hivyo . Nyie ndio mnaokojoa kwenye makopo ndani mkiogopa kutoka nje usiku.Tena nawaombea wakutane na sundowns wapigwe kama ngoma
Ninyi mnaojifanya mnacheza ligi ya waliofaulu mbona kila mwaka tunawatia dole tukikutana?Huu woga ndio unaowafanya kila mwaka muwe mnacheza kombe la waliofeli Maana mnaogopa Sana aibu . Mwanaume wa kweli hawi mwoga hivyo . Nyie ndio mnaokojoa kwenye makopo ndani mkiogopa kutoka nje usiku.
Mazembe mwaka huu kapigwa mechi 5 Kati ya sita iliyocheza makundi.Kumpaka mafuta mazembe home and away, timu lenu bovu limewahi fanya hivyo pamoja na ushirikina wenu?
Kwahiyo unataka kusemaje we mbumbumbu?Mazembe mwaka huu kapigwa mechi 5 Kati ya sita iliyocheza makundi.
Nyie kwa vipers mmewahii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumpaka mafuta mazembe home and away, timu lenu bovu limewahi fanya hivyo pamoja na ushirikina wenu?
Peleka U.T.I sugu hukoNyie kwa vipers mmewahii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umevurugwaa wee.
Kwani sifa ya kwenda Shirikisho waliipata kwa kushuka daraja?Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani.
Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7.
Wakati shirikisho kati ya mechi 6 kashinda 4. Kashinda mechi nyingi shirikisho kwenye mechi 6 kuliko kwao alipocheza mechi 23. Haya ndio maajabu ya shirikisho mwaka huu.
View attachment 2575924
Fei Toto anakusubiri muende CAS.Mazembe mwaka huu kapigwa mechi 5 Kati ya sita iliyocheza makundi.
Sasa ilo ni kosa la nani!?Mazembe mwaka huu kapigwa mechi 5 Kati ya sita iliyocheza makundi.
Team ya kufungwa mechi tano kati ya sita wewe unaionaje?Kwahiyo unataka kusemaje we mbumbumbu?