Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

waache marumo washuke daraja si wameamua wenyewe ya nn kuwapangia?
 
Nani alikwambia huko utopoloni kuna mtu mwenye akili ukiacha mzee Manara na mzee kikwete?
 
Eti huyu ndiye aliyekuwa akimtetea Fei Toto kwenye mgogoro wake na Yanga! πŸ€”
 
Kwenye hao mashabiki wa yanga vichaa mimi simo tafadhali.
 
Washabiki wa Simba bana, kabla ya makundi ilikuwa yanga anaenda kulitia Taifa aibu!!. Yanga kafuzu kwa kishindo akiongoza kundi huku akimpusua mbabe wa Afrika mashariki Tp Mazembe nje/ndani,
Saizi wekuja na vihoja vya eti shirikisho kuna timu zinashuka daraja πŸ˜…πŸ˜…. Tulieni tuwakandie atakayekuja mbele.... Wanaume kwenye hii huanzia ugenini na kumalizia nyumbani ..
 
Y
Wasijali


Subiri tuwakande wao hiyo tarehe 16/04/2023 ndo wapate akili
 
Nawaona Utopolo fainali.

Ndio Mabingwa watarajiwa wa Kombe la Shirikisho mwaka huu.
Kimoyo moyo hapo unatukana huku ukisema eeh "Mungu naomba Hawa kenge wapangwe hapo kesho na timu ya waarabu Ili watolewe mapema tupumue hapa mjini'
 
Hilo linaitwa kombe la loser hakuna timu kubwa iliyokuwa vizuri utakayoona inacheza huko ukiona ww upo huko ujue ww upo katika kombe dogo yaan loser kombe kubwa linaitwa CAF champion huko utakutana na mabingwa wa kila nchi na mshindi wa pili huwezi kuta mshindi wa tatu that why champions league inakuwa ngumu kwakuwa kuna mabingwa lakin huko kwa loser mtu anashuka daraja eti anaongoza kundi tukisema hilo ni kombe la loser muwe mnaelewa fisi maji nyie😁😁😁
 
Povu la nini mkuu
 
Msimu uliyopita umecheza hilo kombe vipi ulilichukua au ulipakwa mafuta kunako ....πŸ˜…
 
Povu la nini mkuu
Hilo ni kombe la loser huwezi kuona mamelod au al ahyl yupo huko kwa kuwa wao ni mabingwa na siku ukiona yupo huko ujue kashuka kiwango ilo ni kombe la vibonde hakuna timu kubwa inaweza kucheza shirikisho na ukiona timu kubwa ipo shirikisho ujue kiwango kimeshuka saana πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Roho yakuuuuuma

Ahahaahaahaa
 
Sisi tupo kombe la mabingwa huku ndio kwetu hata super league ikianza sisi tutakuwepo kwakuwa sisi ni wakubwa ila sio nyie mpo kombe la loser na hamtakuwepo super league kwakuwa nyinyi vibonde πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna aliyewauliza mpo wapi

Nyie kaeni huko Kwa Raha zenu

Ila msisahau kikombe cha Robo Fainali hakina Silverware Wala medali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…