Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

We bwege kweli, Chelsea kafuzu UEFA kwaiyo tim ni zaifu au?
 
We bwege kweli, Chelsea kafuzu UEFA kwaiyo tim ni zaifu au?
Kwani Chelsea anashika mkia au kushuka daraja Kaka. Time imeshinda mechi 3 tu Kati ya 23 inaongoza kundi shirikisho. Inafikirisha sana
 
Ww ni mgeni sasa ktk football.. tuanzie hapahapa CAF, huko mnaposema ni kwa mabingwa,club ya kablyie kutoka Algeria msimu huu ni ya pili kutoka mwsho ktk ligi yao lkn wamefuzu robo final champion ligue mbele ya petro de Luanda na vita club.

Je huko club bingwa mnapojidai pia ni kwa walioshindwa? Mbona kablyie ni ya pili kutoka mwisho kwenye ligi na wameshika nafasi ya pili kwenye kundi lao lenye wydad,vita club na petro de Luanda.

Haya Chelsea ni ya 11 ktk msimamo wa EPL lkn wameingia robo final wanacheza na Madrid, je UEFA ni kombe la walioshindwa? Maana hii Chelsea mbovu imefika mpaka robo.

Msimu ule Chelsea anabeba uefa walikua na msimu mbovu EPL na walikua nje ya Top 4 ktk msimamo lkn wakaenda kubeba UEFA.

Mwisho niseme ww ni mjinga [emoji706]
 
Hiyo kablyie kutoka Algeria mbona ni ya pili kutoka mwisho kwenye ligi yao na imepenya robo huko club bingwa mbona haushangai?

Tunaposema nyinyi ni mbumbumbu tunamaanisha
 
Kablyie ni ya pili kutoka mwisho ligi ya Algeria lkn wapo huko club bingwa unapojida!! Ww ni mpumbavu
 
Kwani Chelsea anashika mkia au kushuka daraja Kaka. Time imeshinda mechi 3 tu Kati ya 23 inaongoza kundi shirikisho. Inafikirisha sana
@William Mshumbusi kabilyie yupo club bingwa huko mlipo na yupo mkiani kwenye ligi ya kwao kashinda mechi 3 tu kati ya 17 alizocheza. Tukisema ninyi ni mbumbumbu tunamaanisha
 
Vipi tuendelee na mada? Au tuyaache? πŸ˜„
 
Mikia FC njooni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…