Yanga mpira mnacheza, magoli yanafungwa na burudani tunapewa, kongole sana wananchi

Eti kmc wakapiga uzi mwekundu na nyeupe...[emoji3][emoji3][emoji3]
Kilichowakuta awatorudia tena kuizungusha yanga mara songea mara kirumba awaeleweki wanakuwa wanatafuta nini, sababu icho kitu wangekuwa wanakifanya ata kwa mechi za simba lakini wao wamekomaa na yanga tu kuipeleka mikoani kwenye viwanja vibovu
 
Mkuu hebu fafanua
 
Mnatamani bashite arudi kwenye zama zake ampe gsm case kama alivyofanya kwa manji
 
Tabia hizo Ni za Mo tu bongo ndio mnunua mechi

Leo mmesahau mlikuwa mnafunga magori ya offside na dakika za 97 na 98

Leo mmesahau mlivyo wajinga wenzenu wanamaliza mechi dakika 30 za Kwanza na kuanza kulinda magori nyie mnaanza kulia Lia

Kwahiyo hata gemu ya ngao mliyopigwa nayo GSM waliinunua?

Uwe na akili basi japo kiasi uelewe kwamba mwaka huu hamna chenu.
 
Yaani watu wanapumuliwa kisogoni dakika 30 zote za mwanzo afu mnasema shikalo kauza mechi???na ile pasi ya yacouba alopewa ndani ya sita akapiga ikagonga post angefunga mngemlaumu shikalo tatizo kaseja mchawi alishachungulia akaona leo fedheha ndo hakutaka kudaka

KUJARIBU KUIZUIA YANGA HII KUCHUKUA POINT 3 NI SAWA NA KUJARIBU KUZUIA TUMBO LA KUHARISHA
Mwaka huu wote mtahara
Frustration desayi NAWATAFUNA Pacbig na nyie zamu yenu ikifika bora tafuteni viwanja vibovu mana kwa mkapa tutawapiga nyingi
 
Mnarudia kosa lilelile la kumtukana simba kabla hamjavuka rivers. Nasema na hii msimtukane simba kwa kuwa mmevuka geita na sasa mpo Songea
 
Mkuu hebu fafanua
Wachunguze ukweli wa Biashara na Dodoma Jiji kupewa 10M na Rc wao. Wakati huo huo RC wa Mara amesema hawezi kutoa 10M kijinga na wakati hata hawala yake hajamjengea nyumba na amezaa nae watoto 2. Sasa nani alitoa kama sio yeye? Bila shaka jibu ni GSM. RC wa Dodoma ni kapuku hawezi kutoa 10M na hana interest za kisiasa katika jiji la dodoma na wilaya zake, naamini hawezi toa 10M kizembe
 
Ligi ipo na match 30. Sasa hivi mmecheza metch 3 bado 27. Ndio muda wenu wa kufurahi huu.

Simba bado tuna mechi 28. Tulizeni mzuka.
 
Hao GSM wata sanda tu. Muda utaongea bado mechi 27.
 
Samahani kuuliza, hivi mpaka sasa hii timu imecheza na timu gani vileee? Wewe kama mcheza mpira wa Bonanza ukicheza na mtoto wako wa miaka 5 unachezaje? Nafikiri umeshanielewa. Timu inayojuwa kucheza mpira mzuri na wa maana inacheza mechi za kimataifa na wanaume wenzao na si Watoto wa ngumbalu.
 
Wanaume wenzao njombe mji ya botswana na bado mkawa mnacheza mpira makande, we jamaa ni amnazo kabisa
 
Waache kucheza na watoto ndipo utajuwa mpira wao ukoje. Wangekuwa wa maana wasingetolewa na timu za kibabe kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…