Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

Unafuatilia na kuangalia mechi zote za waarabu na league yao yaani wale jamaa kwenye mpira wana mauza uza kushinda huku kwenye league yetu.
 
Sio ihefu tena🤣🤣
 
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Msm wa kwanza???? Msm mingne hyo mlkuwa wapi
 
🤣🤣
 
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Vip umekula lakini?
 
Utopolo baada ya robo karne ndio anaingia makundi then anamcheka anayefika robo fainal CL kila mwaka, haya nayo ni maajabu ya milenia
 
Tatizo la Simba kila mwaka anaishia hapo hapo hakuna maendeleo ndio maana tunamdharau ,sisi tunataka utofauti .

Yah ,Yanga kipindi hiko alikuwa anajitafuta lakini alivyoibuka kaibuka kweli .
 
Uzi unasema soka la Afrika na mashindano ya CAF ,sasa shirikisho nalo ni miongoni mwa hayo mashindano.

Simba iliwahi kushiriki shirikisho na kutolewa Robo fainal kama kawaida yake na kusifiwa amekufa kiume kwa Kaizer Chiefs .
Simba vs kaizer walicheza robo fainali mwaka gani kombe la shirikisho?
 
Uzi unasema soka la Afrika na mashindano ya CAF ,sasa shirikisho nalo ni miongoni mwa hayo mashindano.

Simba iliwahi kushiriki shirikisho na kutolewa Robo fainal kama kawaida yake na kusifiwa amekufa kiume kwa Kaizer Chiefs .
Mwaka gani huo? Acha kudanganya hapa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Mbona heading yako yako ipo duni (inferior) na kiubaguzi (racist) wa kijinga (ignorance) sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…