Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.

NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka sasa wakati hata kipindi cha kwanza hakijaisha (aibu inatunyemelea)
Unafuatilia na kuangalia mechi zote za waarabu na league yao yaani wale jamaa kwenye mpira wana mauza uza kushinda huku kwenye league yetu.
 
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.

NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka sasa wakati hata kipindi cha kwanza hakijaisha (aibu inatunyemelea)
Sio ihefu tena🤣🤣
 
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Msm wa kwanza???? Msm mingne hyo mlkuwa wapi
 
Akili za mashabiki wa Yanga za kisenge sana

Yani timu yao inatolewa klabu bingwa inaenda kucheza shirikisho wakihesabika ni losers wa klabu bingwa, wanafika fainali wanafungwa na timu ambayo haikuwa hata kwenye klabu bingwa USM Alger wanajiona bora

Ni dharau sana klabu iliyokuwa mashindano makubwa ya klabu bingwa kufungwa na klabu ambayo umeikuta kwenye shirikisho

Kwa maneno rahisi: Timu kubwa jinga(Yanga) alifungwa na katimu kadogo kashirikisho (USM Alger)
🤣🤣
 
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Vip umekula lakini?
 
Utopolo baada ya robo karne ndio anaingia makundi then anamcheka anayefika robo fainal CL kila mwaka, haya nayo ni maajabu ya milenia
 
Tatizo la Simba kila mwaka anaishia hapo hapo hakuna maendeleo ndio maana tunamdharau ,sisi tunataka utofauti .

Yah ,Yanga kipindi hiko alikuwa anajitafuta lakini alivyoibuka kaibuka kweli .
 
Uzi unasema soka la Afrika na mashindano ya CAF ,sasa shirikisho nalo ni miongoni mwa hayo mashindano.

Simba iliwahi kushiriki shirikisho na kutolewa Robo fainal kama kawaida yake na kusifiwa amekufa kiume kwa Kaizer Chiefs .
Simba vs kaizer walicheza robo fainali mwaka gani kombe la shirikisho?
 
Uzi unasema soka la Afrika na mashindano ya CAF ,sasa shirikisho nalo ni miongoni mwa hayo mashindano.

Simba iliwahi kushiriki shirikisho na kutolewa Robo fainal kama kawaida yake na kusifiwa amekufa kiume kwa Kaizer Chiefs .
Mwaka gani huo? Acha kudanganya hapa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.

NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka sasa wakati hata kipindi cha kwanza hakijaisha (aibu inatunyemelea).
Mbona heading yako yako ipo duni (inferior) na kiubaguzi (racist) wa kijinga (ignorance) sana.
 
Back
Top Bottom