Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Milioni 500 ndicho kilichobaki ktk club yetu ya Yanga, sasa pesa iliyobaki after matumizi sio lazima ndo iwe faida. Rais amekuja kutupiga changa la macho hapo.
So pesa iliyo baki baada ya matumizi kwa mujibu wako unaiitaje?

Maana hata hili halii hitaji degree labda kama unataka ligi.Maana kiswahili kila siku kinakua unaweza kuongeza msamiati mwengine.
 
Mkopo hauwekwi kwenye income and expenses statement sheet. Kwa sababu mkopo ni liability.
Unataka mifano ili uelewe...
Hii ni annual report and consolidated financial statements ya mwaka 2022 ya liverpool.
Tutumie template kama mfano

Angalia Loans (debt) iko kwenye section ghn katika balance sheet.

Hii hesabu haijakaa sawa bado inazalisha maswali.
Ukweli ambao wangewaambia mashabiki zao ni walikusanya b 12.5 wakatumia 17.3
Kwa sababu walichokusanya hakitoshi wakakopa b 4.8 ili waweze kutimiza matumizi yao kama club.
Lakink kwenye mkopo kikabaki kiasi kidogo.
Huwezi kuita kiasi kilichobaki kwenye mkopo kuwa ni faida.

Labda wangetueleza aina ya mkopo waliochukua ni shortterm au longterm.

Kama ni mkopo wa muda mrefu nakuabaliana na wewe kuwa hiyo m 500 ni faida kwa sasa. Na faida hii imepatikana kutoka kwenye kilichobaki katika mkopo huo.
Lakini bado anasisitiza kuwa kwenye profit and loss statement sheet hatuweki mkopo.
 
Mkuu na hiki ndo ambacho najiuliza nikiweka ushabiki pembeni.
Hii hapa UEFA annual report and consolidated financial statements ambayo inatumiwa na club zote za ulaya kuwasilisha hesabu zao za mwaka.
 
So kampuni yenye haki ya kutangaza faida ni ile tu isiyokua na mkopo?
 
Kuna swali zuri umeulizwa "taasisi yenye mkopo haitakiwi kutangaza faida "?
 
Ngoja wahasibu wenye CPA waje mm bwana mifugo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huhitaji CPA, kulijua hilo. Ni cheti cha mwaka mmoja cha uhasibu kinatosha. Jibu rahisi ni kuwa unaweza ukapata faida japo una mkopo. Kama hujaelewa, sema tukuelezee vizuri, lakini usisahau kuweka wazi Elimu yako ya juu uliyofikia. Ili maelezo yetu yaendane na kiwango cha elimu yako.
 
Profit=Revenues-Expenses.
 
Basi kama hujui tukubaliane tu ni sahihi kusema taarifa yao ya fedha haina makosa.
 
Sikutegemea kama katika hili tungeweka ushabiki, mashabiki wa Simba na Yanga tungeungana ili kutokomeza huu ujanja ujanja wa hawa mabosi, Club hazina akademy za maana, hazina mali za kueleweka, pesa zote za faida zinabaki kulipa madeni ambayo wametukopesha.
 
Swali langu naomba lijibiwe taasisi yenye mkopo haina haki ya kutangaza faida? Na Kama mambo ndio haya hakuna taasisi inayo tengengeneza faida hapa duniani
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, profession yangu ni BA. Kuna kitu hapo hakipo sawa, hakuna faida endapo kama bado una deni. Na kwanini deni halijalipwa hata kidogo? Hapo deni ni 4B, deni lina riba kiasi gani? Mbona ni loss kubwa sana hapo.
Rudi tena shule kadai ada yako.
 
Naomba kufahamu ukiwa na deni huwezi kupata faida? utalipa vipi deni kama biashara yako haina faida?
ndio,
faida kwa nature ya makampuni ni pale tu unapo-break even........
 
Kwani Mo alilipa kiasi gani.
alilipa mwaka gani?

dodoma viwanja 50x50 mwaka 2015 ilikua less than 10M...

leo eneo lile lile unaweza pata uwanja wa ukubwa huo kwa bei hio hio?
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, profession yangu ni BA. Kuna kitu hapo hakipo sawa, hakuna faida endapo kama bado una deni. Na kwanini deni halijalipwa hata kidogo? Hapo deni ni 4B, deni lina riba kiasi gani? Mbona ni loss kubwa sana hapo.
Mkuu kwani ni lazima kutumia faida yote kulipa deni mpaka limalizike ndio uanze kuhesabu faida, si unaweza kutumia sehemu ndogo tu ya faida kulipunguza kidogo kidogo?.......Kuna mikopo ya kulipwa kwa kipindi kirefu tena kidogo kidogo tu.
 
2
alilipa mwaka gani?

dodoma viwanja 50x50 mwaka 2015 ilikua less than 10M...

leo eneo lile lile unaweza pata uwanja wa ukubwa huo kwa bei hio hio?
So kutoka 2021 mpaka 2023 ndio imedouble?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…