Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Sawa...hapo kuna loan repayment?
 
Mo alivyo ingia kulikuwa na michakato ya kuithaminisha Simba na baadae wakailalamikia serikali inawachelewesha,ila rasmi ilikuwa 2021 na Mo akakabizi mfano wa hundi wa bil 20 kwa Simba. Lkn kipindi chote kulikuwa na michakato na process za kubadilisha mifumo ya jinsi ya kuiendesha Simba na kuithaminisha.

Hata hili nalo unataka ligi........?
 
mikopo huwa na masharti ya kulipa,so kutangaza faida wakati una mkopo mahali sio dhambi ilhali wewe na aliyekupa mkopo mliwekeana taratibu za namna gani ya kulipa...madrid,man utd nk huko ulaya wanatangazaga faida zao kwa mwaka huku wakiwa bado wana madeni kwenye mabenki mbali mbali kwa ajili ya maswala kama ya usajili au ujenzi wa viwanja lkn hiyo mikopo haiwazuii kutangaza faida au hasara kwasababu mikopo hiyo ina makubaliano ya namna ya kulipa...
 
alilipa mwaka gani?

dodoma viwanja 50x50 mwaka 2015 ilikua less than 10M...

leo eneo lile lile unaweza pata uwanja wa ukubwa huo kwa bei hio hio?
MO kawekeza Simba ikiwa hata mishahara haiwezi lipa.

Leo hii thamani ya Simba imeongezeka zaidi ya Mara 2, japo haina assets za hiyo thamani
 
20bil 2021 for 49% then 23bil per year in 23/24 bajeti ya timu,sijui labda kwako ina make sense kwako.
thamani ya 20b kwa 49% ilikua ni mwaka 2018 (see attachment), ndio mwaka makubaliano yalipofanyika......

2021 alipoonesha hundi (hundi fake tuseme) ilikua na maana na upande wa club nao watakua wamemaliza mchakato wao wa uuzaji shares zile 51%......

kiuhalisia MO hajaweka hizo hela, kwa sababu upande wa wanachama bado hatujui nani anamiliki hizo 51% na kwa njia ipi........, lkn ikitokea mchakato ukakamilika upande wa wanachama MO atatakiwa kulipa 20b kwa 49% as per 2016-18 agreement
 

So mauziano yalifanyika mara mbili.
 
nimekujibu post ya juu hapo, utaona ni lini MO alikubali kulipa hizo 20b (ilikua 2018)......kisheria hata kesho akitakiwa kukabidhi hizo pesa za 49% atakabidhi 20b (as nina uhakika hajalipa mpk leo, maana upande wa wanachama bado hawajaweka zao),

yale makubaliano ya 2018 ni legal binding, ndio mana MO kila wakati akibanwa huwa anarejea yale makubaliano....... (achana na sarakasi za 2021 na hundi ya mchongo)...........

wabongo mikataba huwa tunashikwa sana, ndicho alichofanya MO kwa simba!
 
Duu haya ila nilicho kiona mimi 2021.
 
View attachment 2670230
So mauziano yalifanyika mara mbili.
hapana,
mara ya kwanza 2017 MO alitaka 51%, akaja akaishia 50%..... serikali ikaingilia kati kusema wanachama ndio watatakiwa kuwa majority shareholders...... ndipo ikakubaliwa yeye achukue 49%,,,, angalia attachment hapo chini..... ningeleta link ila naogopa ban,

kwaio ishu ya simba na mo ilimalizika 2018 , kilichobaki ni utekelezaji, na wenye shida ni upande wa wanachama..... ndio mana mwaka majuzi-2021- mo akaja na hundi ya mchongo...... i think alitaka kuwapa pressure kina mangungo wamalizane haraka.........

again, ushahidi wa kimazingira unaonesha MO hajaweka zile 20b kwenye account ya klabu (or kampuni whatever you call it)...... lakini still kisheria hata mwakani akiambiwa aingize pesa ataingiza 20b (kwa makubaliano ya 2018),

kwa sasa ni kama anawakopesha simba pesa zake, na yeye kwa njia hio anaongeza thamani ya hisa zake na kupata platform ya kutangaza biashara zake...... its a win win situation kwake!
 
Mwaka ulioishia 2022 NMB ilikuwa na deni la 6 Trillion na ilipata faida ya 432 Billion. Kuwa na deni hakuathiri taasisi kupata faida. Alichokisoma president mbele ya wajumbe yuko sahihi kabisa ingawa inaweza isiwe kwa asilimia zote
 
Mwaka ulioishia 2022 NMB ilikuwa na deni la 6 Trillion na ilipata faida ya 432 Billion. Kuwa na deni hakuathiri taasisi kupata faida. Alichokisoma president mbele ya wajumbe yuko sahihi kabisa ingawa inaweza isiwe kwa asilimia zote
Asante kaka kwa reference nzuri.

mike2k vipi hapa huyu naye una mkatalia maana NMB kuna watu wana CPA,ACCA au nao hawakuliona.
 
MO aliweka pesa ila zilirudi kwake sababu MO anawadai Simba, hata misimu 2 nyuma MO katoa Bilioni 7 kusapoti bajeti ya Simba.

Hivyo MO anawadai Simba pesa nyingi kuliko alizotoa
 
Mwaka ulioishia 2022 NMB ilikuwa na deni la 6 Trillion na ilipata faida ya 432 Billion. Kuwa na deni hakuathiri taasisi kupata faida. Alichokisoma president mbele ya wajumbe yuko sahihi kabisa ingawa inaweza isiwe kwa asilimia zote
Hebu thibitisha hili swala lako.
Vinginevyo hujui maana ya faida
 
Hebu thibitisha hili swala lako.
Vinginevyo hujui maana ya faida
Nithibitishe lipi kati ya niliyoandika mkuu? Kwamba Nmb haikuwa na hilo deni? Kwamba haikupata hiyo faida.

Je wewe mtaalamu wa hesabu unaifahamu Cashflow statement?
 
Nithibitishe lipi kati ya niliyoandika mkuu? Kwamba Nmb haikuwa na hilo deni? Kwamba haikupata hiyo faida.

Je wewe mtaalamu wa hesabu unaifahamu Cashflow statement?
NMB haina hilo deni tajwa
 
Hata kama sijasoma finance hapa unanidanganya
 
Ujifunze ya nyoko,
Ungetaka kujifunza usingeanza na kuandika dharau kqa Yanga, ungeuliza inakuaje timu inadaiwa lakini inapata faida? Hapo ndio wataalam tungekuelimisha. Kolo wewe mwenye masikio kama upawa wa kuchotea makande.
Utopolo yenu matusi kama waimba taarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…