Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Haya jamani nawatakia kipindi chema cha pili..najua muamala ushasoma..!
 
Nimeshaongea na wachezaji wetu, Yanga tunataka taji,siyo mfungaji bora
 
Eti hii timu ndio inajinasibu kucheza champions ligue..na huyo mviziaji wao..timu nzima inategemea mtu mmoja..si umeona hata penalti wanataka apige yeye..akiumwa je?
Ndio hio team inakuzidi points 10 na umeshindwa kuifunga wewe wa Champions league
 
Wewe nawe kiazi cha Msimbazi mbona unaongea bila kufikiria? Simba imefika robo fainali kwa mastraika gani wa ajabu zaidi ya Kibu, Mugalu, Boko na Kagere na tegemezi wenu alikuwa Sakho.

Unasema Yanga inamtegemea Mayele, ina maana magoli yote ya Yanga yanefungwa na Mayele pekee?
Si ndio mnayemuambia kila siku..hata leo mnangoja mteteme!
 
Feisal ndio pekee aliyeinyima Yanga magoli mengi mechi ya leo kuliko wachezaji wote
 
Eti hii timu ndio inajinasibu kucheza champions ligue..na huyo mviziaji wao..timu nzima inategemea mtu mmoja..si umeona hata penalti wanataka apige yeye..akiumwa je?
Halafu pia mkumbuke kiwa hawa waliwafunga na mechi ya pili mkachomoa goli dakika za usiku huku mkiwa kwenye klabu bingwa ukiiwa unatesa
 
Sasa kocha si umpumzishe Saido Ntibazonkiza! Mechi ya tatu hii anapuyanga tu uwanjani! Angeingia Makambo kuongeza nguvu pale mbele, magoli yangepatikana ya kutosha tu!

Moloko naye anaruka ruka tu!

Kazi kweli kweli.
 
Ili kuepusha migogoro, kuanza kutafuta mamluki na kutimuana hii mechi inabidi tushinde
 
Back
Top Bottom