Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Kuna watu mioyo na akili zipo Bongo baada ya kuwa South Africa,wanaumia keshenzi na Mayele kama kawaida yake.........
 
Kuna watu mioyo na akili zipo Bongo baada ya kuwa South Africa,wanaumia keshenzi na Mayele kama kawaida yake.........
Kule bondeni Simba atafuzu kesho, usiogope kuhusu hilo.
 
Namuonea huruma mnyama mpaka basi. Kesho Orlando Pirates wanajitafunia kiulaini! halafu wakirudi Bongo, tunakuja tena kuwamalizia!
Simba anafuzu kesho na tarehe 30 mnapigwa na kitu kizito utosini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…