Mkuu timu huwa haziweki majina ya wachezaji wao walioitwa timu ya Taifa kwenye page zaoKwani ulishawahi kuona manchester united inatembeza bakuli?
Usipende kujifananisha na timu za ndoto zako, sio kila inachokifanya man na yanga ifanye, mtachanika msamba shauri yenu
Unaweza kunionesha ni lini manchester united iliitisha press kwa ajili ya kuzindua kalenda?Mkuu timu huwa haziweki majina ya wachezaji wao walioitwa timu ya Taifa kwenye page zao
Ukiona timu imeweka basi huo ni ulimbukeni ww kolo
Kitu gani hiki?GK Parfait Mandanda 10 October
1989 (age 31) Mouscron
GK Joël Kiassumbua 6 April 1992 (age 29) Servette
GK Hervé Lomboto 27 September 1989 (age 32) Motema Pembe
GK Lionel Mpasi 1 August 1994 (age 27) Rodez AF
DF Chancel Mbemba 8 August 1994 (age 27) Porto
DF Ngonda Muzinga 31 December 1994 (age 26) Dijon
DF Christian Luyindama 8 January 1994 (age 27) Galatasaray
DF Fabrice Nsakala 21 July 1990 (age 31) Beşiktaş
DF Jordan Ikoko 3 February 1994 (age 27) Ludogorets
DF Dieumerci Amale 17 October 1998 (age 22) Difaâ
DF Idumba Fasika 28 February 1999 (age 22) Cape Town City
DF Arsène Zola 23 February 1996 (age 25) Mazembe
MF Fabrice Ngoma 22 January 1994 (age 27) Raja Casablanca
MF Chadrac Akolo 1 April 1995 (age 26) Amiens
MF Gaël Kakuta 21 June 1991 (age 30) Lens
MF Samuel Moutoussamy 12 August 1996 (age 25) Fortuna Sittard
MF Edo Kayembe 3 August 1998 (age 23) Eupen
MF Samuel Bastien 26 November 1996 (age 24) Standard Liège
FW Yannick Bolasie 24 May 1989 (age 32) Çaykur Rizespor
FW Dieumerci Mbokani 22 November 1985 (age 35) Kuwait SC
FW Cédric Bakambu 11 April 1991 (age 30) Beijing Guoan
FW Meschak Elia 6 August 1997 (age 24) Young Boys
FW Ben Malango 10 September 1993 (age 28) Al-Sharjah
FW Jackson Muleka 4 October 1999 (age 22) Standard Liège
FW Jonathan Okita
Unaweza kufanya mjadala huu kufikia kikomo kwa kufanya jambo moja tuNaona uko kwa ajili ya ligi.
Kwahyo hukuona mashabiki wa PSG walienda airport kumpokea MessiUnaweza kunionesha ni lini manchester united iliitisha press kwa ajili ya kuzindua kalenda?
Hivi wewe utopolo unapatia wapi nguvu ya kusema wewe sio limbukeni?
Au club gani kubwa uliona mashabiki wanaitana kwenda airport kuwabeba wachezaji wao juu juu?
Mimi nataka mnipe hiyo link ya hao wachezaji ambao katika list, mchezaji wa simba hayupo
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,Nimepita kwenye pages zote za kikongo hakuna updates yeyote huko, mmenipa majina ya sites za kikongo nimrjikuta mpaka sasa nimeanza kukijua kikongo lakini hizo data zenu hazipo
Katika picha uliyoituma nimechukua jina la site ambalo limeandikwa pale chini ya picha leopardleader.com napo huko chenga hamna kitu.
Sasa hizo data wenzangu mmezitolea wapi kama kote huko mnakodai hamna, maana hiyo LINAFOOT.com ndo kabisa nyeupe, recent post ni ya siku tatu nyuma, na hiyo recent post imezungumzia club ya saba balenge
Kabla ya hapo siku sita zilizopita ndo ikapostiwa habari nyingine, nayo hiyo ni irrelevant kabisa, haihusiani hata kidogo, sasa si mkubali tu kua mlikua mnadanganya ila nimewastukia?
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,Amna mwenye link eh?
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,Unaweza kufanya mjadala huu kufikia kikomo kwa kufanya jambo moja tu
Weka link ya official website au any trusted source ambayo imetaja wachezaji wa kikosi cha congo national team kisha tuone hiyo squad kama imekosa mchezaji wa simba
Kuniambia napenda ligi badala ya kuweka link ya kukata mabishani nikuchochea zaidi ligi.
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,Kitu gani hiki?
Weka link, hii hata mi naweza
Messi na ronaldo kwa ukubwa wao ule uliwaona wakibebwa juu juu hapo airport?Kwahyo hukuona mashabiki wa PSG walienda airport kumpokea Messi
Au mashabiki wa Manchester kumpokea Ronaldo
Na labda nikueleze kihistoria Manchester, Yanga, AL Ahly, Juventus dio timu pekee zinaweza zikakaa chini na kuzungumza lugha moja ya Makombe mengi katika historia Past, present and future
huko nimeenda sijaona, na inaonekana hufuatilii huu mlolongo.Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,
Kwahyo unataka kutafuniwa kila kitu wewe kolo
Mzee unaupiga mwingi [emoji23][emoji23]huko nimeenda sijaona, na inaonekana hufuatilii huu mlolongo.
Hiyo sit ya linafoot aliyosema ina hizo takwimu, wewe umeihakikisha?
Hata pages za facebook na insta zina link, mnashindwa nini kuweka hizo links?
Wewe huko unako nielekeza kua kuna majibu ya hoja zangu, umejaribu kutembelea hizo pages kuhakikisha?Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,
Kwahyo unataka kutafuniwa kila kitu wewe kolo
Unaongelea klabu bingwa gani? HahahaMessi na ronaldo kwa ukubwa wao ule uliwaona wakibebwa juu juu hapo airport?
Ukisema ishu ya makombe weka data hapa zote zinazoonesha mashindano yote afu tuone.
Al ahly, psg na hizo timu kubwa zingine zinaweza zikaongea na simba kuhusiana na robo fainali double tearm ya club bingwa
Mara ya mwisho kufika robo fainali club bingwa ilikua mwaka gani?
Nina wasiwasi na elimu yako, haya ndo madhara ya "Big result now"Wewe huko unako nielekeza kua kuna majibu ya hoja zangu, umejaribu kutembelea hizo pages kuhakikisha?
Mimi nimeenda huko kote sijakuta chochote, kama kuna namna ambayo mnaziona basi wekeni link hapa ili kurahisisha
Hatuwezi kukutafunia kila kitu wewe kolo na tunakuacha na ujinga wako na matokeo ya "Big results now"huko nimeenda sijaona, na inaonekana hufuatilii huu mlolongo.
Hiyo site ya linafoot aliyosema ina hizo takwimu, wewe umeihakikisha?
Hata pages za facebook na insta zina link, mnashindwa nini kuweka hizo links?
Hawa wamezoea kudanganywa huko utopoloni nao wanayachukua maneno kama yalivyo bila kuyafanyia tathminiMzee unaupiga mwingi [emoji23][emoji23]