King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Si mulituambia kuwa Kipa wenu ni Kipa wa Timu ya Taifa ya Mali? Mumeshasahau sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enock jana Azam wamepost yupo mazoezini na timu yake ya Simba wala hakuenda kwenye timu yake ya taifa.Enock huyo hapo kaitwa
we jamaa ni kiazi mbatataHahaha! Una andika riwaya kutetea Opinions zako, are you kidding?
To cut long story short, give facts to your defending point
And if you don't have facts.
From now on, u have no right to have conversation with me
Am out yeah!
Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada.
Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa...
Aucho na ndie captain wa the cranes 😃Kwa hiyo yanga haijapeleka mchezaji hata mmoja national team ukiachana na wachezaji wa hapa ndani?
Unaakili kubwa kuliko MagoriHivi Kama wewe ungekua Kocha wa Congo ungemwita Moloco ukawaacha Wachezaji wanacheza Belgium, France ama England!?
Kinachofanywa Morisson asiitwe Ghana, ni hicho hicho kina apply kwa DR CONGO.
Simba ni matapeli aiseeNaona umeshindwa hata kuitafuta website rasmi ya Linafoot. Haya hiyo hapo nimekuletea... 😂 😂 Tuonyeshe Henoc Inonga.
View attachment 1964680
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa Congo.
Unahoja dhaifu sana mzee wa kazi na ndio maana hao sio wakongo.Mkongo aliye sajiliwa simba mbona kaitwa hao wa yang wako 6 mbona hajaitwa hata Moja?1. Banda
2. Bwalya
3. Nyoni
Kama wangekuwa raia wa DRC au Mali au Burkina faso wangeitwa katika timu zao za Taifa?
Ameitwa mmojaKuna wachezaji wawili tu. Je wameitwa kuichezea DRC? Kama hapana ni kwanini?
Ebu na wewe kaa pembeni kwanza, usijae kwenye 18 zanguwe jamaa ni kiazi mbatata
Kwa akili zako Henock Inonga anaweza kuitwa timu ya Taifa? Akafanye nini huko?
Achana na hizi taarifa za kupikwa mkuu na ndio maana level za UMBUMBUMBU kwenu unazidi kuwa mkubwa
Wachezaj wanao anza hapo n wawili tuWachezaji wote ambao wanaanza kwenye first eleven ya Yanga wameitwa timu ya Taifa Coz sisi hatupeleki wachezaji kwenda kubahatisha
Feisal salum
Bakari Nondo mwamnyeto
Dickson Job
Kibwana Shomari
Ramadhani kabwili
Utadhan n Mara ya kwanza mnaifunga Simba, msimu jana s mlichukua point 4 kwa simba? Na hata ule mwingine pia point 4Ni wabovu & Unwanted ila kwa apa Bongo watazichapa sana fimbu.
Kama mbovu na unwanted Mayele alichokifanya majuzi pale kwa Mkapa.
Sisi tunapeleka regular starter Kwenye Kikosi cha timu ya taifa na sio Bench warmersWachezaj wanao anza hapo n wawili tu