Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Si mulituambia kuwa Kipa wenu ni Kipa wa Timu ya Taifa ya Mali? Mumeshasahau sio?
 
Hahaha! Una andika riwaya kutetea Opinions zako, are you kidding?

To cut long story short, give facts to your defending point

And if you don't have facts.
From now on, u have no right to have conversation with me

Am out yeah!
we jamaa ni kiazi mbatata
 
Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada.

Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa...

Lakin Engineer alituambia ili wamsajili mchezaji lazima awe anachezea team ya Taifa... Sasa kama hao hawawez kuitwa aliwasajilia nn

Anyway mi nafikir kuitwa team za taifa inategema na utashi wa mwalimu na kiwango cha mchezaji kwa wakati huo

Kuna wachezaj wachache dunian ambao wana nafasi zao permanent team za taifa... Wengine ni kutegemea kiwango na aina ya mfumo mwalimu anaotaka

Maana kule team za taifa hufundishwi mpira mwalimu anapanga mfumo kutokana na wachezaj waliopo
 
Hivi Kama wewe ungekua Kocha wa Congo ungemwita Moloco ukawaacha Wachezaji wanacheza Belgium, France ama England!?

Kinachofanywa Morisson asiitwe Ghana, ni hicho hicho kina apply kwa DR CONGO.
Unaakili kubwa kuliko Magori
 
1. Banda
2. Bwalya
3. Nyoni

Kama wangekuwa raia wa DRC au Mali au Burkina faso wangeitwa katika timu zao za Taifa?
Unahoja dhaifu sana mzee wa kazi na ndio maana hao sio wakongo.Mkongo aliye sajiliwa simba mbona kaitwa hao wa yang wako 6 mbona hajaitwa hata Moja?

instagram.jpg
 
Teeeeeeeeeehtehtehtehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhtehteheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wachezaji wote ambao wanaanza kwenye first eleven ya Yanga wameitwa timu ya Taifa Coz sisi hatupeleki wachezaji kwenda kubahatisha

Feisal salum
Bakari Nondo mwamnyeto
Dickson Job
Kibwana Shomari
Ramadhani kabwili
Wachezaj wanao anza hapo n wawili tu
 
Ni wabovu & Unwanted ila kwa apa Bongo watazichapa sana fimbu.

Kama mbovu na unwanted Mayele alichokifanya majuzi pale kwa Mkapa.
Utadhan n Mara ya kwanza mnaifunga Simba, msimu jana s mlichukua point 4 kwa simba? Na hata ule mwingine pia point 4

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom