NABII ELIAH
Member
- Oct 25, 2022
- 8
- 2
DuMkuu, usikute zimekulipukia chooni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuMkuu, usikute zimekulipukia chooni!
View attachment 2397066
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI.
Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke
Anaandika Jemedari Saidi
Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote.
Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa mastaa unahusishwa, huku ikisemekana kwamba aligomea kwa kutoa sababu za kiufundi. Nabi pia anahusishwa na magomvi na wasaidizi wake kwa muda sasa na misimamo mikali.
Kwenye soka sajili zingine ni "Political Signings" ambazo wakubwa ndiyo wanajua zaidi kwanini wanamtaka Kisinda, Morrison au Makambo kwa mfano, kuliko vile Kocha anavyotaka.
Kwahiyo kocha kuleta mambo yake ya kiufundi ni kutaka kuchelewesha maisha kuwa mepesi na kuyatia ugumu.
Kocha wa Vipers ya Uganda Mbrazil Roberto Oliveira anahusishwa na kuchukua nafasi ya Nabi ambaye ameiongoza Yanga SC kwenye michezo 43 ya Ligi Kuu bila kupoteza.
Mechi ya Derby ilikuwa ndiyo njia rahisi kumuondolea kama Yanga wangepoteza lakini mechi ikaisha kwa sare. Kama atafika salama mechi dhidi ya Club Africain itakua mtihani mkubwa sana kwake, asipotoboa hana chake. Waswahili wanasema 'Kamba hukatikia pabovu
Credit: Bin Kazumari
Daah mpira hujui kabisa.Kosa la NABI ni kumpanga Mayele na sio Makambo. Mayele anaecheza kibinafsi sio Bora kuliko Makambo anaecheza kitimu. Sasa Kwa nini Mayele hakutolewa mapema ili aingie Makambo au yoyote. Hapo ndio kosa la kocha lilipo. Yeye kocha ndio huwa anaefanya selection ya wachezaji Kwa hiyo hakuna ' wachezaji kucheza kibinafsi' bila kocha kuwajibika.
Wewe ni Nabii TitoWewe utakuwa Mashalove siyo bure, au Juma Lokole.
Hili gazeti si ndo lililoandika Manzoki atua Simba?? 🤪🤪🤪
Ondowa hiyo takataka yako.
Kinacho kuuma ni kipi?Daah Yanga ishapotea sema Yanga walikosa maandalizi wao wana mechi za kimataifa wanaenda kucheza na kipanga sijui kifaru kigamboni...wachezaji wamenenepa balaa huyo Shaban Juma kanenepa hawezi kukimbia na huyo Kipa hivyo hivyo mipira anayoweza kudaka ni ile karibu yake hawezi kutoka kucheza mipira ua kona,Kona zote wanacheza mabeki Diara anachoweza ni kutoa pass za miguu vizuri na kuanzisha mashambulizi ila counter zote ni majanga kocha wamemlazimisha Kisinda arudi wakati walimsajiri Kambole ambae angesaidia Timu huyo Kisinda yeye anafikiria mbio tuu hata kama ni sehemu ya kutoa pass...juzi badala aanze Faridi Mussa kaanza Kisinda ambae hasaidii kukaba ambayo iliwafanya Simba waonekane kutawala kiungo muda mwingi huku Aucho akitumia kukaba kwa kufanya faulo maana alichoka sana kwa kufanya kazi mbili...
Mpka sasa Simba isha fundishwa na makocha wa 5 huku Nabi akichalaza wote lazima muweweseke
usije kushangaa akaanza kufukuzwa Mgunda kabla ya Nabi.
Mimi sijatabiri nimetumia tu nomino kukupa darsa.mbona na wewe umetabiri[emoji115].
Mikia mtahangaika sana Nabi bado yupo sanaView attachment 2397066
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI.
Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke
Anaandika Jemedari Saidi
Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote.
Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa mastaa unahusishwa, huku ikisemekana kwamba aligomea kwa kutoa sababu za kiufundi. Nabi pia anahusishwa na magomvi na wasaidizi wake kwa muda sasa na misimamo mikali.
Kwenye soka sajili zingine ni "Political Signings" ambazo wakubwa ndiyo wanajua zaidi kwanini wanamtaka Kisinda, Morrison au Makambo kwa mfano, kuliko vile Kocha anavyotaka.
Kwahiyo kocha kuleta mambo yake ya kiufundi ni kutaka kuchelewesha maisha kuwa mepesi na kuyatia ugumu.
Kocha wa Vipers ya Uganda Mbrazil Roberto Oliveira anahusishwa na kuchukua nafasi ya Nabi ambaye ameiongoza Yanga SC kwenye michezo 43 ya Ligi Kuu bila kupoteza.
Mechi ya Derby ilikuwa ndiyo njia rahisi kumuondolea kama Yanga wangepoteza lakini mechi ikaisha kwa sare. Kama atafika salama mechi dhidi ya Club Africain itakua mtihani mkubwa sana kwake, asipotoboa hana chake. Waswahili wanasema 'Kamba hukatikia pabovu
Credit: Bin Kazumari
Shouts on target 2Kwa lile pira alilotembezewa na simba juzi wana haki ya kuachana nae, maana walisema wanajipima na simba kimataifa. Watamchukua mgunda sasa
Utopolo fc bada ya kusikia Simba Ina. Mipango na kocha wa viper nao wamekimbilia issue..
ma ta ko ya mama yakeView attachment 2397066