Mtakuja kupatwa na aibu na mkimbie account zenu,wakati mwingine ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.Kuna mwingine kaanzisha uzi jana wa Akpan na Okwa wamegoma kuondoka Simba,usiku huo huo mchezaji wa kigeni katambulishwa,tunamuuliza iweje mchezaji mpya atambulishwe kama hao wamegoma kuondoka amekaa kimya hana majibu.Hakuna sifa ya kusema uongo kwa hili jamvi zaidi ya kujiaibisha tu ndugu zangu.huyo wa congo nani? Kama ni makusu deal inaenda kufa, kama ni baleke ongezeni mzigo
subiri muda ufikeMtakuja kupatwa na aibu na mkimbie account zenu,wakati mwingine ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.Kuna mwingine kaanzisha uzi jana wa Akpan na Okwa wamegoma kuondoka Simba,usiku huo huo mchezaji wa kigeni katambulishwa,tunamuuliza iweje mchezaji mpya atambulishwe kama hao wamegoma kuondoka amekaa kimya hana majibu.Hakuna sifa ya kusema uongo kwa hili jamvi zaidi ya kujiaibisha tu ndugu zangu.
Rubbish 🚮🚮🚮🚮Sasa hujasoma umejuaje kama ni uongo?
Kusema hujasoma tafsiri yake ni kwamba hujapenda ambacho umekisoma. Lakini ukweli ndo huo. Ndo maana hata Manara wa Yanga ni tofauti sana na Manara wa Simba. Manara wa Yanga anaendesha gari kama za Ikulu. Manara wa Simba alikuwa anaendesha gari za mitumba.
Ni ukweli ambao huhitaji kuhangaika saaaana kuuona.
hahahahaMtakuja kupatwa na aibu na mkimbie account zenu,wakati mwingine ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.Kuna mwingine kaanzisha uzi jana wa Akpan na Okwa wamegoma kuondoka Simba,usiku huo huo mchezaji wa kigeni katambulishwa,tunamuuliza iweje mchezaji mpya atambulishwe kama hao wamegoma kuondoka amekaa kimya hana majibu.Hakuna sifa ya kusema uongo kwa hili jamvi zaidi ya kujiaibisha tu ndugu zangu.
Kumbe huna uwezo wa kujadili.Rubbish 🚮🚮🚮🚮
Dunduka ilo halinaga akiliKumbe huna uwezo wa kujadili.
Yale yale ya Kambole!Pole kwakifungo Cha nje. Nasikia mchezaji wenu Kwa Mara ya mwisho kucheza mchezo wa kinashindani ni tangu February 2022.Na hajawahi kukaa msimu zaidi ya mmoja kwenye timu.
Muda ushafika,una la kutuambia sasa?subiri muda ufike
Muwe mnabakisha akiba ya maneno[emoji4][emoji4]hahahaha
nilikuambia anasajiliwa baleke na sio makusu,au ulilewa?Muwe mnabakisha akiba ya maneno[emoji4][emoji4]
nilikuambia usajili ni baleke na alitaka dau kubwa, na sio makusuMuda ushafika,una la kutuambia sasa?
Hamia Yanga uje ufurahi. Maana naona unapata sana shida na Simba yako. Njoo rasmi usiwe unajikombakomba kwa pembeni. Kwa sasa tumeanza kusajili mashabiki kutoka Simba na Azam. Njoo nyumbani kumenoga.Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu.
Halafu tukisema kuwa Yanga SC na GSM yao wameshatoka katika upuuzi na wamejipanga kweli kimashindano na wanaenda kuwa Mabingwa tena wa NBC Premier League kwa Msimu huu wa 2022 / 2023 mnanitukana na kukimbilia kusema mimi GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC na siyo mwana Simba SC.
Tukutane mwisho wa ligi kuisha, ok?
Miaka 60 means uwezo wa kiakili unashuka busara inaongezekaWewe kilaza yani huwa unanishangaza sana! Naona unajiuliza halafu unajijibu mwenyewe...Embu sema hiyo hatua waliopiga GSM na yanga mbovu ni ipi acha kujiongelesha kama mwehu au unamaruhani kichwani nini...Kiazi wewe🤣🤣🤣
Ha ha ha,jinsi ulivyoiweka ile comment ilikuwa kama haiwezekani kwa Simba kumsajili Baleke,dau limeongezwa sasa na Baleke ndiyo huyo hapo.Tuendelee na maisha mengine.nilikuambia usajili ni baleke na alitaka dau kubwa, na sio makusu
sio kweli ulielewa vby,usajili wa baleke naujua walikwama wapi na wamesolve vpHa ha ha,jinsi ulivyoiweka ile comment ilikuwa kama haiwezekani kwa Simba kumsajili Baleke,dau limeongezwa sasa na Baleke ndiyo huyo hapo.Tuendelee na maisha mengine.
Ha ha ha yawezekana nabishana na Salim Try Again kumbe.Kadi ninayo Mkuu tena nimeilipia mwaka mzima.sio kweli ulielewa vby,usajili wa baleke naujua walikwama wapi na wamesolve vp
Kwanza una kadi ya uanachama simba,leo tunaanza kampeni,
hahahaha, hapana sio try again lakini ni vzr kufuatilia klabu yakoHa ha ha yawezekana nabishana na Salim Try Again kumbe.Kadi ninayo Mkuu tena nimeilipia mwaka mzima.
Hiyo safu kali ya ushambuliaji ya Simba na Kibu umemuhesabia humo humo?hata ukiangalia takwimu kama ubanwa na mlango!SIMBA NDIO TIMU PEKEE KWA SASA YENYE SAFU KALI YA USHAMBULIAJI NA UZUIAJI,alafu usajili mdogo huwa ni kuongezea tu,wachezaji 3 wanatosha,
Nyie mlioingia makundi mmeshinda makombe mangapi mpaka sasa?achana makombe huko tutaishia hapa hapa,moja linakutosha,pamoja na kuwezeshwa na MANJI,ROSTAM,JK NA HATA sasa JIESIEM timu hii ya UTOPOLO HAIJAWAHI KUINGIA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRIKA TOKA 1998
Sijadili upuuzi na vichwa vya gahwaKumbe huna uwezo wa kujadili.