mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,294
Watoto wa CCM hawa, uwaga hawanaga akili kama wadhamini woo chama tawalaJezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448
Hakuna mwanaume anayejitambua atakayevaa hizo KANGA.Yanga na Simba waatakiwa wafanye kile wanaona kinafaa ili mradi wasivunje sheria za mpira wa miguu tu na kanuni zake hizo mambo za wewe kutaka au wasitake ungezipotezea tu mazee..
Umejijibu mwenyewe kwenye para ya mwisho.Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448
Na ukosa akili piaHii timu utoto mwingi sana
Wameweka jina la mwanaume mwenzao nyuma kwenye tako, useng'euseng'e tu
Mimi ni nani nikunyime like kwa hoja nzito kama hiiKimsingi hizi jezi ni mbaya material yake ya bei rahisi kitambaa cha uzi huu ni sawa na vitambaa vya jezi za alfu tisa tisa kariakoo
Daah hili povu lote ni kwa sababu ya nguo tu tena baada ya miezi sita tu wanaleta zingine mazee pambana achana na nguo za mia tisa China..Hakuna mwanaume anayejitambua atakayevaa hizo KANGA.