Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Mpira Wa bongo bana, vituko haviishi
 
Karia na TFF yake ni Idiots kabisa.. Wanaleta masikhara kwenye burudani za watu..
Kwanza wafahamu hyo TFF sio ya mama yao.. Watu ndo tumewaweka hapo.. Tunauwezo wa kuwatoa kwa viboko.. Wasituletee udwanz sie
Out of topic

Wewe ndo umemweka karia[emoji16][emoji23]

Or unamaansha Maria

Sorry joking
 
Hii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.
Huu upumbavu unaweza kusababisha tufungiwe na FIFA. Iweje serikali iingilie maamuzi ya soka?
 
Mama KADEMKA!!! nani anataka kusoma kitabu cha Mzee RUKHSA? Kitakuwa na nini cha maana zaidi ya blah blah zisizo na miguu wala tija.
Ni upumbavu wa hali ya juu,kitabu cha mtu mmoja tu kivuruge mchezo,pesa na kazi za watu? Huu ni upumbavu wa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…