Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

wanataka kuuchosha tu uo uwanja ufabae mapema nazani sasa tff watunge kanuni uwanja mmoja utumike kwa mechi ngapi kule chamanzi ilikua sahihi kabisa timu mbili kule na kmc timu mbili sasa wanahama wakati uwanja wenyewe hata taa hauna siku latiba ikiwaitaji wote wacheze apo itakuwaje
 
Nawapingeza Kwa maamzi haya
Azam kama hawajui Yanga ni mteja wao
Wao wanaleta uadui Kwa wateja, Sasa huu ni mwanzo
Na matangazo yetu tunahamia DSTV
Kila siku ni kuhama tu viwanja! Ni lini timu itamiliki uwanja wake binafsi!! Yaani KMC iliyoanzishwa miaka michache tu iliyopita, inamiliki uwanja wake!! Halafu timu imeanzishwa tangu mwaka 1935! Eti mpaka leo inahemea tu kwenye viwanja vya timu nyingine!!

Kila kiongozi anayeongoza Yanga lazima kwenye kampeni zake aahidi kujenga uwanja! Ila baada ya kupata madaraka, anaanza porojo!!

Hovyo kabisa. ☹️
 
Hivi Yanga na Simba wangekuwa na viwanja vyao wenyewe na kufungwa kama ambavyo amefungwa Yanga pale chamazi, wangehama pia viwanja vyao?
 
Kila siku ni kuhama tu viwanja! Ni lini timu itamiliki uwanja wake binafsi!! Yaani KMC iliyoanzishwa miaka michache tu iliyopita, inamiliki uwanja wake!! Halafu timu imeanzishwa tangu mwaka 1935! Eti mpaka leo inahemea tu kwenye viwanja vya timu nyingine!!

Kila kiongozi anayeongoza Yanga lazima kwenye kampeni zake aahidi kujenga uwanja! Ila baada ya kupata madaraka, anaanza porojo!!

Hovyo kabisa. ☹️
Yanga na Simba ni biashara ya serikali na tff na katu hawatokuja kumiliki uwanja
 
Nawapingeza Kwa maamzi haya
Azam kama hawajui Yanga ni mteja wao
Wao wanaleta uadui Kwa wateja, Sasa huu ni mwanzo
Na matangazo yetu tunahamia DSTV
Nilijua watatumia uwanja wao,utopolo hawana akili karibia wote sasa, imani za kishirikina zimewajaa,
Hapo mashabiki mazuzu wa utopolo kidogooo ndio mioyo imepoa na kuwasahau Tabora united
 
Azam na 5imba ni Kenge, sanasana Azam, Vilabu vinavyokuja kucheza na Yanga wanawapokea na kuwapa ushirikiano, Ingekuwa jambo la ajabu Yanga kuendelea kuung'ang'ani ule uwanja. Wanaruhusu uwanja utumike kwa propaganda za kuichafua Yanga, mara sindano, mara uchawi nk. KMC hawana ushindani wowote wa nafasi dhidi ya Yanga, tofauti na Azam ambao ni washindani korofi. Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi
Utakuwa umechanganya mafaili🤣
 
Timu inaendeshwa kama kikoba Cha uswahilini. As if hakuna watu waliosoma ndani ya menejimenti.
 
Nadhani sababu ya wao kuukimbia Chamazi itakuwa ni ile ishu ya kuwa exposed.

Ile misindano kwenye pharmacy zinazouza dawa za binadamu huwezi kuzipata.

Na mimi kabla ya ile footage kuwa leaked mara yangu ya mwisho kuona mibomba ile ya sindano ilikuwa kwenye movie ya Predator ya Anold Schwarzenegger.

Kwenye kile kipande ambapo Roboti alijeruhiwa akawa anatoka damu za kijani akawa anajitibia akatoa sindano. Basi ile sindano ndio nimekuja kuiona Chamazi kwenye ile footage
Hiyo issue ya sindano kama ipo kweli kwanini haipelekwi FIFA
 
Back
Top Bottom