Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Tusubiri kidogo kabla hatujazungumza nani ameiga kuchukua rangi ya blue. Yanga traditionally anatumia rangi tatu, hii blue wameitolea wapi?
 
Wadhaminu walikosa washauri yaani uweke udhamini kwenye team iliyobakisha mechi 3 tu za Caf confederation cup baada ya hapo wanarudi wavuvi camps.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Wadhaminu walikosa washauri yaani uweke udhamini kwenye team iliyobakisha mechi 3 tu za Caf confederation cup baada ya hapo wanarudi wavuvi camps.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wenzako walikua wanaimba table wewe upo busy kula ubuyu na barafu matokeo yake hata 3×2 haujui
 
Utopolo hapa wametumia akili nyingi.

Sisi kujidai uzalendo wa kipuuzi? Uzalendo upo moyoni, si nguoni.

Hatutaki tena VISIT TANZANIA, tunataka Mpunga.
Lazima kuna wajanja walichukua hela Wizara ya Maliasili na utalii, Wananchi saizi mahesabu ni hela tu,nyie endelea kujipendekeza kwa wanasiasa.

NB:Wenzako watakuchukia sana,maana umeacha Akili kidogo za kutafakari
 
Jichunge usiwe kifewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…