Simba inategemea sana mitandao ya kijamii kama vile Instagram na Tweeter. Pia ina viongozi ambao ni kama celebrities, kwa mfano Haji Manara na Mo Dewji. Wana followers wengi, hata Barbara Gonzalez.
Ubovu wa hili kwenye negotiations za Media Partnership ni kuwa itabidi kurasa hizi ziache kuandika na kuonyesha baadhi ya matukio.
Yaani mimi kama AZAM nachukua hizi pages kama competition na itabidi unihakikishie kuwa utaacha kupost mambo ya Simba kabla ya kuniuliza na kuhakikisha hazitaleta migogoro.
This is Negative.
Pia Azam wataangalia siku Yanga ikicheza viewrship ipo vipi na siku Simba ikicheza viewership ipo vipi hasa kwenye TV.
Na mauzo ya Jezi pamoja na merchandise.
Halafu Simba nusu ya mapato yataenda kwa mtu binafsi, anaweza akatumia hizo hela kununua tambuu au kuwapa Simba. Hiyo ni juu yake.
Upende usipende, kwenye hili Yanga wamewapiga bao Simba.
Bila aibu mikia mnatetea mo 😀,subiri muda wa kuuza hisa ufike muone pesa watu watakayoweka YangaMtu mwenye akili timamu na aneelewa maana ya biashara hawezi kubisha juu ya hilo,maana kiuhalisia biashara inatakiwa iwe hivyo.
Hivi ununue club kwa hela kubwa kuliko,mapato ya club alafu faida itapatikana wapi? Ni sawa na mtu anunue kitu 600M Ili aingize faida ya sh 50 kwa siku.
Si kwenye matangazo yao watakuwa wanatuonyesha bidhaa zao mara Azam Cola, Azam Energy Drink, Azam Ukwaju, Azam Juice nk!Kwani MO ana TV?
Hapo Simba inaingia Mkataba na Azam TV na sio METL na SSB
Bila aibu mikia mnatetea mo [emoji3],subiri muda wa kuuza hisa ufike muone pesa watu watakayoweka Yanga
Azam TV ndo anachukua rights na si SSBSi kwenye matangazo yao watakuwa wanatuonyesha bidhaa zao mara Azam Cola, Azam Energy Drink, Azam Ukwaju, Azam Juice nk!
Umepanic mkia 😂,gsm peke yake atawekeza zaidi ya pesa anayoililia lia mo hapo,tayari kuna watu 4 ambao wana interest za kuwekeza Yanga,tena hapo manji maana katiba ikibadilishwa manji atagombea urais wa kampuni ya Yanga,senzo atakua CEO wa kampuni ambayo itamiliki 51% hiyo 49% tayari ina watu 4,ongea kimafanikio ya uwanjani mliokua nayo kipindi hiki ila kama mambo yataenda kama yalivyo miaka kadhaa ijayo Yanga itakua sehemu nyingine kabisaHakuna mtu serious akaenda kununua hisa kwa Team inayosuasua uwanjani.Kwamba badala ninunue hisa TBL (Simba) niende kununua hisa Chibuku (Yanga)
Hao watafanya kuonesha wana uwezo ila wanaumia moyoniUmepanic mkia [emoji23],gsm peke yake atawekeza zaidi ya pesa anayoililia lia mo hapo,tayari kuna watu 4 ambao wana interest za kuwekeza Yanga,tena hapo manji maana katiba ikibadilishwa manji atagombea urais wa kampuni ya Yanga,senzo atakua CEO wa kampuni ambayo itamiliki 51% hiyo 49% tayari ina watu 4,ongea kimafanikio ya uwanjani mliokua nayo kipindi hiki ila kama mambo yataenda kama yalivyo miaka kadhaa ijayo Yanga itakua sehemu nyingine kabisa
Umepanic mkia [emoji23],gsm peke yake atawekeza zaidi ya pesa anayoililia lia mo hapo,tayari kuna watu 4 ambao wana interest za kuwekeza Yanga,tena hapo manji maana katiba ikibadilishwa manji atagombea urais wa kampuni ya Yanga,senzo atakua CEO wa kampuni ambayo itamiliki 51% hiyo 49% tayari ina watu 4,ongea kimafanikio ya uwanjani mliokua nayo kipindi hiki ila kama mambo yataenda kama yalivyo miaka kadhaa ijayo Yanga itakua sehemu nyingine kabisa
Wewe jamaa bhana!hivi mikia nguvu hiyo kuanza negotiate mnaitoa wapi!story zako za vijiwe vya kahawa unadhani huu mkataba ni mpya while ni wa kitambo sema umeboreshwa tu,mkataba wa awali timu zote zilikua zinapewa pesa sawa tena kiduchu,leo hii eti unadanganya hapa eti mnanegotiate na azam while mo hautaki huu mkataba aibu kwake maana pesa ya udhamini inazidi pesa ya uwekezaji,halafu nikupe kitu huu mkataba kufikia hapa ni Yanga chini ya senzo ndio walioupigania tena kama utakumbuka ligi ya kinadada Yanga princess na mikia queen ile match azam waliionyesha,walipotangaza tu wataionyesha Yanga walikataa isionyeshwe kwani kwenye mkataba na azam haupo kwenye timu za wadada,mikia mlikubali kuonyeshwa ile match while hata ndondo cup azam aonyeshi kienyeji,azam na Yanga wakayamaliza na Yanga akavuta mkwanja maana ndio walikua wenyeji,baada ya ndio wakaanza kupitia mkataba mpya ndio ikaongezwa pesa na azam ndio akapewa rights zote za Yanga,uongo wa kudai hamtaki mkataba wa b 2 kwa mwaka wakati mlikua mnachukua m 300 kwa mwaka kawadanganye huko vijiwe vya kahawaKumbe unaongelea nadharia,nilidhani unaongelea uhalisia.Unadhani Azam hawapendi pia kuweka mikono yao ndani ya Simba,au hapa mpaka sasa kinachogomba ni dau,Simba in upper hand ktk negotiation baina yake na Azam,Utopolo ni tia maji tia maji ndiyo maana haraka sana mmerukia hilo deal[emoji3][emoji3]
Kwa mkataba wa 34 B wa TV right wa Yanga naweza kuinunua Simba ( 49% shares). Mfano Naenda Bank nakopa mkopo wa 21 Billion for 15 years repayment ambapo dhamana ni Contract ya Azam tv na hizo shares pia malipo ya mwezi ambayo azam tv atatakiww kulipa ndio rejesho la huwo mkopo. Ndio maana nasema Mo amewaibia sana Simba haiwezekani ukapata umiliki kwenye Club kubwa kama Simba kwa 20 Billion tena ya mkopo…. Mpaka leo Mo ametengeneza pesa nyingi sana kupitia Mo energy product for free sana
Hao watafanya kuonesha wana uwezo ila wanaumia moyoni
Hahaa kama umefuatilia vema, dau inategemea na thamani ya club.Hamna kitu kama iko,mkataba wa SportPesa na timu zetu hamna timu iliyoizidi mwenzie hata sumni,na ndivyo itakavyokua iwapo mikia wataridhia kuingia mkataba na azam media, hamna timu itakayoizidi nyingine.
Kwanini mchakato haujakamilika ili hali ulianza muda mrefu?Mchakato wa kampuni au hisa bado hayajakamilika, ndio maana mpaka leo Mo Dewji hajatoa zile 20bilion zake, tatizo watu wanamlamu Mo Dewji bure tu.
Tume ya Ushindani (FCC) imeanza uchunguzi wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Simba ambao inawahusu wadaawa watano.Anabebaje MO wakati hawajakamilisha taratibu ? Issue bado ipo FCC
Huyu Mohamed Janja SanaUmepanic mkia 😂,gsm peke yake atawekeza zaidi ya pesa anayoililia lia mo hapo,tayari kuna watu 4 ambao wana interest za kuwekeza Yanga,tena hapo manji maana katiba ikibadilishwa manji atagombea urais wa kampuni ya Yanga,senzo atakua CEO wa kampuni ambayo itamiliki 51% hiyo 49% tayari ina watu 4,ongea kimafanikio ya uwanjani mliokua nayo kipindi hiki ila kama mambo yataenda kama yalivyo miaka kadhaa ijayo Yanga itakua sehemu nyingine kabisa
Kuna mambo mengi yamechangia hasa upande wa club maana zilikuwa zinaendeshwa kienjeji sana, ila kwa sasa Imekwamia huko Serikalini.Kwanini mchakato haujakamilika ili hali ulianza muda mrefu?
Kapuku asiye hata na buku,Hakika mzee kilomoni tutamkumbuka Sana. Ila bado hatujachelewa maana haya mabadiliko kisheria bado hayajapita. Moo anyanganywe timu faster, mkataba uwe reviewed haraka Sana, tukimchekea Nyani tutavuna mabuwa wanasimba wenzangu.
Washabiki wanachotaka ni mafanikio ya klabu tu hawajali hela zinaenda kwa nani, kwa miaka mi4 mfululizo simba ni bingwa wakati hela za mikataba zinaenda kwa mo huku upande wa yanga asilimia mia hela zinaenda klabuni bila kombe sasa ni mshabiki wa timu gani ana furaha? Wenger aliondoka aseno huku klabu ikiwa inapata faida maradufu ila washabiki wanataka vikombeSimbilisi mngeingia mkataba kabla ya kuuza 49% hapo labda.
Yanga wameingia mkataba huu kabla ya kuuza hisa. Meaning, asilimia 1oo ni mali ya Club hakuna MO.