Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Akili kubwa hii ndiyo sababu mpira wa Bongo utabaki kuwa mauzauza tu ujinga mwingi sana. Kuvaa nembo tu ya mdhamini kwa sababu ina rangi nyekundu ni ISSUE KUBWA. Ujinga huu huwezi kuukuta kwenye timu za Europe.
Hatuwezi kuiga kila kitu huko Europe....

Hatutovaa jezi zenye chata yoyote ya mikia
 
Kwa ujinga ujinga kama huo ndiyo maana timu za bongo zitaishia kucheza ligi ya mchangani tu WAPUUZI wengi sana.

Hatuwezi kuiga kila kitu huko Europe....

Hatutovaa jezi zenye chata yoyote ya mikia
 
Hao viongozi wa Yanga wanataka kutuaminisha kuwa nguo nyekundu au nyeupe hawavai?
 
Bado tuna safari ndefu sana Victoire. Wanayakataa mabillions yatakayosaidia kuiboresha timu kwa namna mbali mbali na labda kulipa mishahara kisa eti nembo ya mdhamini ina rangi nyekundu! 😳
Baadae waje kusumbua watu michango.
 
Reactions: BAK
Warekebishe katiba(amendment) mambo mengine yaendelee.
 
Hii sio mara ya Kwanza Vodacom mbona hakukuwa na story za Yanga kuvaa logo nyekundu ?
Huo udwazi tu, kile kinembo kinaathiri nini? Mbona TFF wametuletea jezi za Taifa Stars za njano (mazarau haya [emoji35]) lakini mabaharia tumenyuti tu!
 
Kwenye profile yako naona kuna mchezaj kavaa jezi nyekundu, hongera kwa kuwa kwenye siku zako mkuu
 
Bado tuna safari ndefu sana Victoire. Wanayakataa mabillions yatakayosaidia kuiboresha timu kwa namna mbali mbali na labda kulipa mishahara kisa eti nembo ya mdhamini ina rangi nyekundu! [emoji15]
Kwanin unaamin kitu unachoamini ndo sahihi, wenzako wanasema ni kinyume na katiba na tamaduni zao we unabisha nin mke,
 
Unakuta viongozi wenyewe wanatumia laini za vodacom na timu ndio inalipa gharama za mawasiliano
Line sio mavazi ya uwanjani nyekundu ni kinyume na katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…