Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Badala ya kufundishana common sense wanakuja kulialia mitandaoni kutafuta huruma.

Yaani viongozi wako na mashabiki wenzio wameapa kufanya kila wawezalo kuhakikisha Simba haichukui ubingwa na dalili za hizo juhudi zao zikaanza kuonekana. Simba wakatoa onyo vingunguti wowote wasikanyage uwanjani, halafu wewe na kajezi kako ka gsm unajileta halafu mbaya zaidi unakaa katikati ya mashabiki wa Simba.

Ashukuru sana siku hizi kuna ustaarabu na camera nyingi viwanjani.
 
mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimekujaaa bunju nyumba ndogoo naona kanitayarishiaaaa mbegee na konyagi sijui anachikitaka kwangu hapaa nimemaliza nusu bapaa nasikiakuharishauchaguzi
Daah sijui hali yako kwa sasa itakua ikoje ukichanganya na utopolo wako lazima uchizike....hahaha
 
Ahahha na mm najua ni mchaga sema tuu nimetaka nimrushe huko Kigoma akapumzike kwanza...na ninamfahamu kabisa yy hawezi nifahamu... 😆 😆 😆 😆
hahahahaaakaipa2025
 
Yani waliapa kabisa kwa jina la Mungu Simba haichukui ubingwa na yule makamu wao wa rais akasema yuko Zanz kwa kazi maalumu hivi watu wa hivyo kweli ni utani au ni nini?
 
VID ZA HURUMA NA AIBU SANA HIZI AISEE UNAWATOA WATOTO KWA AIBU HIVI

RUNGU LA CAF HALIWAACHII NIKO KWA MASSAWE
 

Attachments

  • 6075661-de07e8191014c5f35347aea81a9e0a90.mp4
    2.8 MB
  • 6075286-362ea90558184de99515bda1a724534a.mp4
    4.8 MB
mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimekujaaa bunju nyumba ndogoo naona kanitayarishiaaaa mbegee na konyagi sijui anachikitaka kwangu hapaa nimemaliza nusu bapaa nasikiakuharishauchaguzi
Mangi tuachie pombe sisi watabe asee, hilo fuvu lako , ipo siku litabasti bwashee
 
VID ZA HURUMA NA AIBU SANA HIZI AISEE UNAWATOA WATOTO KWA AIBU HIVI

RUNGU LA CAF HALIWAACHII NIKO KWA MASSAWE
Masawe akutoe nduki unazengea pombe za bure bwashee 😆
 
Yani waliapa kabisa kwa jina la Mungu Simba haichukui ubingwa na yule makamu wao wa rais akasema yuko Zanz kwa kazi maalumu hivi watu wa hivyo kweli ni utani au ni nini?
Mimi nawashangaa sana. Halafu wanajisahaulisha jinsi ambavyo huwa wanawapiga mashabiki wa Simba mara kwa mara na ni miezi michache tu iliyopita walifanya hivyo.

Tanzania hii ya sasa hatutaki tena mambo ya kinafki.
 
Masawe akutoe nduki unazengea pombe za bure bwashee 😆
Bwashee ntakeee radhiii leo tar 26 Bwasheee yaan nasaini kwa kusimama nikizidisha hela niliokuwa nayo yaan bwashee nazengea zile zw kawe kwa wanajeshi wale 15-20 sihaba nikifika wakati wangu nawazungushia tumemaliza 30days
 
Ule uhuni haukubaliki...
 
Mangi tuachie pombe sisi watabe asee, hilo fuvu lako , ipo siku litabasti bwashee
Bwashee Mwanaume ana mawili

1 Pombe
2.Chiu

akikosa kimoja mlevi wa kingine sasa huko no 2

najijua udhaifu wangu m kula asali kwenye pladtic siwezagi Bwashee ama utaki nionaa tena hapaaa uwii
 
Bwashee Mwanaume ana mawili

1 Pombe
2.Chiu

akikosa kimoja mlevi wa kingine sasa huko no 2

najijua udhaifu wangu m kula asali kwenye pladtic siwezagi Bwashee ama utaki nionaa tena hapaaa uwii
Kula pombe bwashee
 
nalooo Nenook Bwasheeeee

mama akukumbuke hata uteuzi ujaoo Bwashee tuwe na member walio...
Hawawezi nilipa bwashee, hata kama uwezo wanao wataona wivu kwa pesa nitakazozidaka na figisu zitakua nyingi🤣🤣
 
Sasa busier hauna akili, kosa moja lisisababishe kosa lingine huwa sio kosa? Kama simba hawakushtaki wala kulalamika hilo sio tatizo la yanga ni tatizo la simba....usiishi na mentality za kipuuzi kama hizo...one mistake doesnt justify another one just because the other one was not reported or worked upon....
 
Hawawezi nilipa bwashee, hata kama uwezo wanao wataona wivu kwa pesa nitakazozidaka na figisu zitakua nyingi🤣🤣
Hahaaa Bwashee sema unaogopa kudukuliwa statement wakenya wamekuwa mashetani weusi uwiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…