Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Sawa na hiyo haitakuwa mara ya kwanza kwa mashabiki wa uto kuwadhuru mashabiki wa Simba na wa timu zingine.
Ilikuwa haki kuwapiga Watanzania wenzenu huko Zanzibar
Sasa na sisi tunawapiga
 
Ni Aibu sana Kitendo cha kupigana

Yanga nao wana haya maushamba

Video zipo
 
Mashabiki wa Yanga siku zote ni waastarabu
Huwa wanachangamana na wale wa Simba na kufurahia Burudani
Hongereni ila msijazane ujinga. Vingunguti wenzenu wanawasoma wanadhani mko serious na hivi viwaraka vyenu, matokeo yake wanafanya ujinga kama huu. Siku nyingine utawagharimu zaidi kwa kukosa tu common sense.
 
Wewe kama umeona Watanzania waliofika uwanjani kushambuliwa, kudhalilishwa na kupigwa ni sawa, basi hata likitokea mashabiki wa Simba wakapigwa wote tukae kimya

Tuwe tunapigana tu
 
Wewe kama umeona Watanzania waliofika uwanjani kushambuliwa, kudhalilishwa na kupigwa ni sawa, basi hata likitokea mashabiki wa Simba wakapigwa wote tukae kimya

Tuwe tunapigana tu
Tulipaza sauti mshabiki wa Simba anayejiita "Dr. Mohamed" alipopigwa mbele ya msemaji wa uto Ali Kamwe. Tulipaza sauti mzee wa uto anayeitwa Mzee Mpili alipompiga mwandishi wa habari. Haya matukio yote yalitokea kabla ya mechi ya Simba vs Berkane.
 
Ulitaka achukue tahadhari Gani aingie na bunduki au kisu
Alikuwa uwanjani kihalali alilipa viingilio akaenda kutazama mpira kama wale waliompiga walivolipa

Badala ulaani waliompiga msamalia mwema wewe unalalamika ati kwanini hajaenda
Namlaan alie fanya fujo namlaani pia nayeye kwa kuhatarisha usalama wa familia yake nikiunganisha na post ya mdau#
 
Tulipaza sauti mshabiki wa Simba anayejiita "Dr. Mohamed" alipopigwa mbele ya msemaji wa uto Ali Kamwe. Tulipaza sauti mzee wa uto anayeitwa Mzee Mpili alipompiga mwandishi wa habari. Haya matukio yote yalitokea kabla ya mechi ya Simba vs Berkane.
Leta taarifa ya Simba kulaani tukio la kupigwa Kwa Wanachama na mashabiki wao kama alivofanya Yanga

Mzee mpili ana nguvu Gani za kupigana na waandishi vijana?
 
Yanga walikuwa wanatafuta nini kwenye fainali ya Simba?
Acheni kutafuta umaarufu rahisi rahisi kupitia mechi za Simba!
 
Yanga walikuwa wanatafuta nini kwenye fainali ya Simba?
Acheni kutafuta umaarufu rahisi rahisi kupitia mechi za Simba!
Kwani Simba alikuwa anacheza dhidi ya Simba
Au ilikuwa Simba sc vs Simba Queens ndo wajae mashabiki wa Simba tu

Au mpinzani WA Simba hakutaka mashabiki
 
Ukienda kwa watu kua mustaarabu ,muwemunakuja hatuwakatazi ila unakaasehemu unayotakiwa ndio maana Kuna upande wa mwenyeji na mgeni kaeni Kwa wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…