Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Leta taarifa ya Simba kulaani tukio la kupigwa Kwa Wanachama na mashabiki wao kama alivofanya Yanga

Mzee mpili ana nguvu Gani za kupigana na waandishi vijana?
Kutotoa taarifa hakuondoi ukweli wa uwepo wa matukio hayo. Video ipo na ilisambaa ya Mzee Mpili akimkimbilia na akimsukuma hadi kumuangusha mwandishi wa kike pembeni ya gari la Crown Media.

Hata hii taarifa ya uto inaonyesha klabu yenu haijitambui na viongozi wenu hawana kazi za kufanya. Unatoa taarifa za mashabiki wako walioenda katika mechi na mashindano ambayo klabu yako haishiriki?

Kwa hiyo kesho tukiona mshabiki wa uto akiwa Ndondo Cup akipigwa klabu nayo itatolea waraka tukio hilo? Kuna mshabiki wa uto alipigwa bakora za kutosha na mmasai maeneo ya Kariakoo, mbona klabu haikumtetea au kusema wamasai wameanzisha uhasama na utopolo?
 
TUTAWACHAPA WAKIJA KWENYE FAINALI YETU MWAKANI YA LIGI YA MABINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…