Mimi nakwambiaga sana una kichwa kigumu.
Scars Amesema tena na tena kuwa suala lililokuwa TFF na maamuzi yaliyofanyiwa review jana yalikuwa ni kumtambua Feisal kama mchezaji wa Yanga. TFF wameepuka kutoa maelezo in public kwa nini wameamua hivyo kwa sababu ni wazi ingegusia uamuzi wa Feisal kurudisha zile pesa.
Sasa Feisal anaona ok, yoyote yaliyopita fresh tu kama nilikosea poa ila sasa anawarudia TFF kuwaambia anavunja mkataba. Tunarudi kulekule kwamba sasa Yanga na Feisal watakaa chini huku TFF akiwa msuluhishi ili kuvunja mkataba huo kwa jinsi mkataba unavyosema inatakiwa kufanyika. Hapa Feisal ni dhahiri harudi nyuma, piga ua.