Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

Wapi makabi lilepo? Wapi chama? Wapi mayele? Wapi fei toto? Uto mnakosea sana. Msimu ujao mjitayarishe kushuka daraja
 
Winga hatari anaweza kutoka kwenye timu iliyoshuka daraja kweli?

Kwa miaka 11 Skudu amecheza dakika 4422 sawa na mechi 11

Hersi anatuchukuliaje sisi wananchi?
Hersi anawachukulia kama ilivyo misukule ya chemchem. Nyumbu one head
 
Na 6 alikuwa Ngoma akakwapuliwa.
Baadae ikawa kwa Chama nae akawatosa.

Injinia akaona isiwe tabu akaamua kumletea Nkane mtu wa kucheza naye kambini pindi wengine wanapoenda mazoezini.

Babu Sikudu Makudubela kaletwa ili awe anabaki na Nkane kambini. Karibu babu Makudubela Jangwani.
 
Hatimaye utopolo wapata Onyango wao.
 
Lakini mimi sijasema kuhusu uzee

Kule Casablanca tulifungwa mkasema sababu ni Onyango mechi za usiku ule uzee unamfanya alale.

Sasa leo tumempata Kaka yake, je mmejipanga kwa mechi za usiku?
Kwani huyo ni beki
 
kinda miaka 33..ndio kinda gan
 
Kuna misimu kazidiwa na bocco[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…