Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

Thank you Morison..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3172]β€πŸ¦½[emoji3172]β€πŸ¦½[emoji3172]β€πŸ¦½
 
Stats: 2014-2015

Akiwa na Platnum Stars

Mechi. 14
Goals. 1
Assist. 0
Njano. 0
Nyekundu 0
Niwekee na statistics za Khalid Aucho, halafu unipe na mchango wake pale katikati.
 
Hii ni wizi mtupu kwa fedha za Yanga
 
Kuna dogo mmoja wa mallumo gallant mweupe hii mtata mtata alisumbuana sana na aucho kwenye mechi ya nusu fainali dogo yuko vizuri sana.
 
Unapoongea hayo yote wewe una nini mkononi na mimi niko levels gani?
Ahahahahahahaaa..!! Unahaha sana aiseee..!!! Umeanza amapiano, nikakutwisha la masebene limekufika hapaa..!! Nilichonacho mkononi na level uliyopo havibadili chochote kuhusu uliyoyasema ya amapiano nami niliyoyasema ya masebene na ndondo cup
 
Mkude enzi yupo Simba..Uto walisema mnalundika wastaafu kambini mara anacheza kifaza..naona ameenda uto kuchukua pensheni na swahiba skudu...
[emoji196] [emoji196][emoji196]
It's been a long Beshti....
Hivi kwa nini Uto hawatoi taarifa za Mayele hadi sasa[emoji38]
 
Ahahahahahahaaa..!! Unahaha sana aiseee..!!! Umeanza amapiano, nikakutwisha la masebene limekufika hapaa..!! Nilichonacho mkononi na level uliyopo havibadili chochote kuhusu uliyoyasema ya amapiano nami niliyoyasema ya masebene na ndondo cup
Tukutane mwishoni mwa msimu 2023/2024 huku kila mmoja akikabidhi hesabu zake.
 
Amecheza timu kama 200 huyu ndo mchezaji wa kwanza mweye uzoefu kuliko wote Tanzania.
 
Na hata mlivyomtimua mlisema ni mzee.

Na Afisa Habari wenu alisema Saido akifunga goli 5 tumuite Ashura Ma UTI
 
Reactions: BRN
Tukutane mwishoni mwa msimu 2023/2024 huku kila mmoja akikabidhi hesabu zake.
Hata mwanzo wa msimu 2022/2023 mliyasema kama haya na kila mmoja akakabidhi hesabu zake. Si unakumbuka mlikabidhi hesabu za kombe la kiatu cha Saido.!!
 
Na hata mlivyomtimua mlisema ni mzee.

Na Afisa Habari wenu alisema Saido akifunga goli 5 tumuite Ashura Ma UTI
Kwan kua afisa habari wa klabu ndio kujitoa kwenye u ovyo ovyo..
 
Winga hatari anaweza kutoka kwenye timu iliyoshuka daraja kweli?

Kwa miaka 11 Skudu amecheza dakika 4422 sawa na mechi 50

Hersi anatuchukuliaje sisi wananchi?
Huku sasa unakoenda utajikuta unaimba taarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…