Chezea ubwabwa wa bure,wametema bungo bila kupenda [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WAMEBUGIA KIAZI CHA MOTO MIDOMO INACHEZA SEBENE
Itakua Azam wamenunua mkataba + transfer feeDau halitawekwa wazi kwasababu thamani yake ni plate ya ubwabwa
Hakuna mtu bahiri Afrika kumzidi MO.Umeiona? Isije ukawa Mali kauli kama ile ya MO.na simba
Win win,na heshima Kwa Yanga juuAzam walishindwa vipi kukamilisha huu usajili mapema?
Ilikuwaje mpaka wamlaghai mcheza ili avunje mkataba kihuni?
Mlichokifanya leo ndicho kinacho takiwa kwenye soka, tuma offer then watu wai-evaluate baada ya hapo unasajili mchezaji.
Kulaghai mchezaji ni janja janja za kizamani. Hakuna pahala ambapo watakubali hilo jambo.
Ninashukuru pia Jitihada sa Mheshimiwa Rais Samia ambazo zimewalazimu muende mezani.
Nakumbuka Yanga walliandika barua mara kadhaa kuwa klabu inayomtaka feisal ije mezani. Nyinyi mlijitia majinuni ili hali taratibu mnazifahamu.
Sasa mmejipata katka nafasi ya kuwajibika kufika mezani wenyewe. Kioja kingine baada ya kufika mezani mkajipa "baigaining power" eti tunatoa Milion 270 za usajili.
Bwana mdogo Hersi kawaambia bila 500 hambebi kitu.
Mwisho wa siku mkasamehewa milion 30
Yanga SC wamewafundisha namna biashara ya mpira inavyotakiwa kufanyika.
Hongereni kwa kujifunza.
Negative can sometimes be good than positiveNegative guy as usual
Huu ni utoaji habari ya muhtasari.Huu ni umbea, uchambuzi au utoaji wa habari
Dogo aliwafata lakini mwanzoni hawakutaka kwasababu zao za kutaka kuoneshana umwamba.Itakua Azam wamenunua mkataba + transfer fee
Thread 'Deal Done: Feisal mambo safi' Deal Done: Feisal mambo safi
✔️✔️✔️✔️✔️✔️Huu ni utoaji habari ya muhtasari.
Kama unataka taarifa kamili, nunua gazeti lako la mwanaspoti.
Niko na makala yangu mule!
Aisee, tena umenikumbusha.Win win,na heshima Kwa Yanga juu
Wale waliomchngia hela Feisali shauri lao
Yanga WoN azam Lost.Win win,na heshima Kwa Yanga juu
Wale waliomchngia hela Feisali shauri lao
kwa akili hii ya mleta uzi unafikiri kuuza bandari ni ngumu hapa Tz?Umeiona? Isije ukawa Mali kauli kama ile ya MO.na simba
Mambo haya mpaka lini lakini?Azam walishindwa vipi kukamilisha huu usajili mapema?