Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

UTOPOLO KUWA LA KUSHINDWA WAMECHEMKA TENA.


UTOPWINYO WAMEANGUKIA PUA
 
Dogo aliwafata lakini mwanzoni hawakutaka kwasababu zao za kutaka kuoneshana umwamba.
Hilo ndio jambo ambalo sisi kama Yanga tulilikataa.

Yanga walitaka klabu inayomtaka ije mezani na si vinginevyo.

Na ndivyo walichokifanya.

Inaitwa PROFESSIONALISM and not UHUNI.
 
Klabu ya kandanda nchini Tanzania yanga sc imethibitisha rasmi KUWEKWA HURU kwa kiungo wake fundi Feisal salum(fei toto) kwenda kwa klabu ya azam fc iliyopo chamazi nini maoni yako mdau kwenye usajili huu je tutaiona Azam ikitwaa ubingwa!?
 
@NALIA NGWENA mwenzio huyu hapa anakuja na figure ya 500M -30M,mpaka sasa kila mtu na lake.Tajeni figure moja tuwaeleweni enyi wanazi wa Yanga.Ameuzwa kwa 270M,350M au 470M?

Ndiyo maana uongozi umeamua kutoweka hadharani dau lenyewe ili muendelee kujifariji kila mtu na figure yake.
 
Mpaka sasa figure zipo tatu,270M,350M na 470M.Uzuri zote zinaletwa na Yanga lia lia,tumwamini nani? Tutaendelea kuamini ile Taarifa kwa Umma ambayo haijaweka wazi dau lenyewe.
Leta zako na wewe
 
Mkuu Nyamizi na wewe za kwako tulinganishe
 
Yanga WoN azam Lost.

Kimsingi Mama kaashurutisha Azam kwenda mezani kama wanataka huduma ya mchezaji.

Baada ya kugoma, sasa wamejitokeza.
Acheni kujifurahisha hapa,aliyewin ni Azam na Feisal maana wamepata walichokitaka.Mnaanza kutudanganya na figures za kubuni ili tu kufurahisha nafsi zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…