Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

Tusipodhibiti haya mambo ya uwazi kwenye michezo yetu itatusumbua sana.
Fikiria FA kule Uingereza tunakoona wameendelea kwenye michezo bado wanaendelea kufanyanya uchunguzi kuhusu masuala ya financial kwa Miaka za nyuma za Man City. Ilaunajiuliza bodi ya ligi walishindwa nini kuendelea na mechi huku wakiendelea na uchunguzi na baadae kupata taarifa sahihi yenye kuwasaidia kutoa maamuzi sahihi kwa wenye makosa.

Yaani watu wametoka Zambia, Malawi, Kagera alafu wanaambiwa mechi imehairishwa kwasababu kuna timu imezuiwa kufanya mazoezi ya mwisho usiku ya kuamkia siku ya mechi...hadi aibu.
Hapa sasa ndio unapofeli.

Hivi ukiambiwa kesho wakati wowote kuna possibilities za kuwepo kwa mawimbi makubwa pamoja na kimbunga kikubwa cha bahari.

Unaweza kutegemea kuona mamlaka za usafirishaji wa maji zikiendelea na shughuli zake kama kawaida?

Au wewe utakuwa willing kusafiri kutumia mtumbwi wa mashua?

Hiyo ndio maana ya precaution unachukua hatua za kiusalama kwanza hata kama hilo tukio halitatokea.

Unawezaje kuruhusu mechi ichezwe ilihali uchunguzi wa awali umebaini kuwepoa na viashiria vya uvunjifu wa amani pamoja na tuhuma za Rushwa?

Mechi ikachezwa halafu watu wakauana? Na wewe uliona hizo dalili halafu umeshindwa kuzuia utafanyaje?
 
Tusipodhibiti haya mambo ya uwazi kwenye michezo yetu itatusumbua sana.
Fikiria FA kule Uingereza tunakoona wameendelea kwenye michezo bado wanaendelea kufanyanya uchunguzi kuhusu masuala ya financial kwa Miaka za nyuma za Man City. Ilaunajiuliza bodi ya ligi walishindwa nini kuendelea na mechi huku wakiendelea na uchunguzi na baadae kupata taarifa sahihi yenye kuwasaidia kutoa maamuzi sahihi kwa wenye makosa.
Tukio la kuahirishwa kwa mechi kati ya Simba na Yanga halifanani hata kidogo na mfano huo uliotoa wa Man City!
 
Hapa sasa ndio unapofeli.

Hivi ukiambiwa kesho wakati wowote kuna possibilities za kuwepo kwa mawimbi makubwa pamoja na kimbunga kikubwa cha bahari.

Unaweza kutegemea kuona mamlaka za usafirishaji wa maji zikiendelea na shughuli zake kama kawaida?

Au wewe utakuwa willing kusafiri kutumia mtumbwi wa mashua?

Hiyo ndio maana ya precaution unachukua hatua za kiusalama kwanza hata kama hilo tukio halitatokea.

Unawezaje kuruhusu mechi ichezwe ilihali uchunguzi wa awali umebaini kuwepoa na viashiria vya uvunjifu wa amani pamoja na tuhuma za Rushwa?

Mechi ikachezwa halafu watu wakauana? Na wewe uliona hizo dalili halafu umeshindwa kuzuia utafanyaje?
TAKUKURU NA JESHI LA POLISI WALIPEWA TAARIFA HIZO?
 
Uto hatuchezi derby hata aje nani, hiyo imeenda, tff fanyeni linalowapendeza uto tuko tayari, uhuni lazima ukomeshwe,ligi gani ya kulazimisha simba mbovu kuchukua ubingwa isiostahili, mechi haziishi hadi Simba ishinde
 
Kwani mnalazimishwa kucheza? Msipeleke timu uwanjani muone mnavyofyekwa point 15 ngumbaru wakubwa nyie na yule mwanasheria wenu ambae hajawahi kushinda kesi tangu azaliwe kazi mnayo.
Unadhani Yanga wataumia wakishuka Daraja.

Think twice
 
TAKUKURU NA JESHI LA POLISI WALIPEWA TAARIFA HIZO?
Takukuru ya Temeke ilikanusha kuwa haijapokea taarifa

Polisi sijajua kama walialifiwa au lah

Ila taarifa za kuwepo kwa hivyo viashiria zilithibitishwa na kamishna wa mchezo wa TFF.
 
Kususia mechi adhabu yake ni kimpa mpizani goli tatu na pointi tatu na sio kushushwa dalaja kama mnavyo itisha Bodi ya Ligi:

Al-Ahly ya Misri ilisusa mechi yao dhidi ya Zamelek na zamelek ikapata goli tatu na Pwenti tatu na jaijashushwa dalaja:

Yanga wanacheja na akili za mashabiki wao ili kuwaridhisha:
Yanga hawajui hata majukumu ya CAS ndio maana wamefukuzwa CAS:

Yanga wanachofanya mwanzo na sasa ni kuwazuga mashabiki wao:

Sisi simba tunajua mtacheza tu na hatuhadaiki na Zuga yenu:
 
Takukuru ya Temeke ilikanusha kuwa haijapokea taarifa

Polisi sijajua kama walialifiwa au lah

Ila taarifa za kuwepo kwa hivyo viashiria zilithibitishwa na kamishna wa mchezo wa TFF.
Kamishna alipaswa kutoa taarifa kwa hvo vyombo vilivopewa mamlaka na serikali kwahyo yeye hakufanyo hvo taarifa yake ni batili na ilikuwa ni kwa maslahi ya upande mmoja ndo maana Yanga hawana imani nao.
 
Uto hatuchezi derby hata aje nani, hiyo imeenda, tff fanyeni linalowapendeza uto tuko tayari, uhuni lazima ukomeshwe,ligi gani ya kulazimisha simba mbovu kuchukua ubingwa isiostahili, mechi haziishi hadi Simba ishinde
YANGA WAKIKUBALI KUCHEZA HYO MECHI BILA USULUHISHI WA PANDE ZOTE WATAKUWA WAMEJICHIMBIA KABURI WENYEWE.
 
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/Α/11298.

CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.

Lakini kutokana na uonevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Uongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.

Aidha, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.

Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini.

View attachment 3325135
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake
 
Kamishna alipaswa kutoa taarifa kwa hvo vyombo vilivopewa mamlaka na serikali kwahyo yeye hakufanyo hvo taarifa yake ni batili na ilikuwa ni kwa maslahi ya upande mmoja ndo maana Yanga hawana imani nao.
Unathibitisha vipi kuwa hakutoa taarifa?
 
Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja

Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja

TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee

Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni uvunjifu wa usalama ambapo watu wenye taaluma za usalama police walikanusha kuwa tarehe 8 March hapakuwa na uvunjifu wa amani

Kuhusu Rushwa, TAKUKURU walikanusha kutambua rushwa yoyote kwenye huo mchezo

TFF wameinyonga Yanga na Karia alionesha kuiunga bodi ya ligi na Simba mkono

TFF waligomea kusikiliza kesi na kuichelewesha maksudi ili kukwamisha Yanga kupata haki Yao ili siku 21 zipite na Yanga asipate haki yake, huu ni uhuni wa wazi wa TFF

Kuna tetesi TFF Kwa mkono wao walijipenyeza CAS na kuishawishi iikandamize Yanga

Sasa TFF kama wanaweza wakaishushe Yanga daraja au waikate points 15 tuone

Huu ni muda wa Yanga kuonyesha ukubwa wake
==

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/Α/11298.

CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.

Lakini kutokana na uonevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Uongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.

Aidha, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.

Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini.
View attachment 3325134
Labda kama Yanga wamepoteza Imani na CAS lakini kama bado ningepata nafasi ya kuishauri Yanga, ningeshauri watekeleze maagizo ya CAS kwa kuikumbusha Bodi ya Ligi kuhusu barua yao na wai cc CAS na kila mawasiano watakayofanya na Bodi ili iwe rahisi ikirudi CAS wasiposikilizwa na BODI. Na barua ingeanza na utangulizi wa maagizo waliyoyapata kutoka CAS.
 
Matusi ya nini? Nyie chukueni kombe kwa uhuni wenu unaotakaswa na baba yenu TFF sisi tunaenda Zanzibar.
 
Back
Top Bottom