Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

Haya yanadhihirisha utoto kwenye uongozi wa club ya Yanga.

1.Umeshapewa maelekezo na Mamlaka yajuu ambayo ni CAS ,kwamba nenda kakae na kamati za TFF ukiona umepewa majibu ya kuonewa ndio urudi hapa CAS? Je Yanga hawana iman na CAS!

Undishi wa barua wa kitoto kabisaa,Eti…..kivyovyote,stupid kabisa

Kama hutaki kucheza mechi na Simba unaona utaonewa basi usicheze mechi zote zilizobaki maana zinasimamiwa na TFF 😂😂
Mkuu nikuulize swali kadogo tu, hivi hadi leo hajapatikana mwenye makosa aliesababisha mchezo ukahairishwa ili awajibishwe na bodi ya ligi kulingana na sheria ya kuzuia/kusababisha mechi kutokuchezwa?
 
Match ipangwe tarehe, asiyetokea uwanjani, aporwe points 3 na mabao 3.
Bas case kwishaa, tusichoshane bhana, Lol
Mkuu yaani mechi ichezwe tu bila kuadhibiwa kwa aliyesababisha mechi kuhairishwa? Si itakuwa uhuni kila wakati kuhairishwa kinyemela na kupangwa upya.
 
Mkuu yaani mechi ichezwe tu bila kuadhibiwa kwa aliyesababisha mechi kuhairishwa? Si itakuwa uhuni kila wakati kuhairishwa kinyemela na kupangwa upya.
Sasa hizo drama za kila upande, suluhisho ni lipi?
 
Sasa hizo drama za kila upande, suluhisho ni lipi?
Suluhisho ni kuwa wapenzi wa mpira waambiwe na bodi kuwa aliesababisha mchezo kuhairishwa kwa kutumia kanuni no.flani ameadhibiwa na kanuni flani.

Baada ya hapo sasa ndipo mechi inapangwa sababu tayari aliyesababisha mechi kutokuchezwa tayari ameshaadhibiwa. Kama bodi walikosea wao, basi wajiuzulu na kuomba radhi wapenzi wa michezo.

Yaani bodi ihairishe mechi baadae apange tena tarehe ya mechi, mbona wanakosa weledi wa kutumia na kufuata vifungu vya kanuni wanazosimamia.
 
Bas ni hatariiii.
 
Kwa miaka sita ( 6)
Yanga wamekwenda CAS mala sita. 6

Wameshindwa Kesi zote sita.
Wana ushindi wa 0 CAS
Hawajashinda kesi hata moja.
 
Na hakuna mbwa yeyote ya kugomea mechi ya Derby siku itayopangwa
Mkuu ushabiki inawatawala hadi watu wanakosa mawazo mazuri ya kuweza kuishauri mamlaka zinazohusika kwani wanapita pia hapa jukwaani kuona maoni ya wadau wa mpira.

Tupunguze ukarakara tutoe mawazo yenye mashiko.
Ukisema hakuna mbwa wa kugomea mechi au kuishusha timu ni kukosa uanamichezo.
Tuwashauri kwanza bodi ya ligi watoe adhabu kwa waliosababisha mechi kuhairishwa kwanza.

Tukiendelea hivi kila wakati wahuni wachache watakuwa hawajajiandaa vyema na mechi then wanaleta taharuki then bodi wanahairisha mechi kwasababu wanatambua kuwa hawataadhibiwa bali timu zitalazimishwa kukubali tarehe ya mechi itayopangwa na bodi ya ligi.
 
Suluhisho ni kuwa wapenzi wa mpira waambiwe na bodi kuwa aliesababisha mchezo kuhairishwa kwa kutumia kanuni no.flani ameadhibiwa na kanuni flani.

Baada ya hapo sasa ndipo mechi inapangwa sababu tayari aliyesababisha mechi kutokuchezwa tayari ameshaadhibiwa. Kama bodi walikosea wao, basi wajiuzulu na kuomba radhi wapenzi wa michezo.

Yaani bodi ihairishe mechi baadae apange tena tarehe ya mechi, mbona wanakosa weledi wa kutumia na kufuata vifungu vya kanuni wanazosimamia.
Simba liyetoa tamko usiku mwingi na kusema hachezi mechi ndiye chanzo cha tatizo. Bodi ya ligi na TFF wanataka tu kumbeba. Mwenye makosa lazima awajibike.
 
Lakini Ndugu hebu tujadili kidogo?

Yanga hataki kucheza mechi yake na Simba kisa ni Uonevu wa TFF na bodi ya Ligi si ndio? Je uonevu huo ni wa ndani ya uwanja au nje ya uwanja?

Yanga hataki kucheza mechi yake na Simba kisa ni Uonevu wa TFF na bodi ya Ligi si ndio? Je uonevu huo ni wa ndani ya uwanja au nje ya uwanja?
 
Simba liyetoa tamko usiku mwingi na kusema hachezi mechi ndiye chanzo cha tatizo. Bodi ya ligi na TFF wanataka tu kumbeba. Mwenye makosa lazima awajibike.
Hapa ndipo watu wanapakwepa; mwenye makosa awajibishwe kwanza ndipo mechi ipangwe kwanza.

Watu wasikimbilie kupanga tarehe ya mechi bila kumaliza mzizi wa fitina ili iwe somo.
 
YANGA IFATE MAELEKEZO YA CAS...WASIPORIDHIKA NA MAJIBU YA TFF WAPELE CAS TENA ...ILA MECHI HAKUNA KUCHEZA.
Hakuna majibu zaidi ya haya
20250505_150905.jpg

ambayo ndio yanga waliamua kwenda CAS, kifuatacho ni tarehe mpya kutajwa
 
Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja

Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja

TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee

Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni uvunjifu wa usalama ambapo watu wenye taaluma za usalama police walikanusha kuwa tarehe 8 March hapakuwa na uvunjifu wa amani

Kuhusu Rushwa, TAKUKURU walikanusha kutambua rushwa yoyote kwenye huo mchezo

TFF wameinyonga Yanga na Karia alionesha kuiunga bodi ya ligi na Simba mkono

TFF waligomea kusikiliza kesi na kuichelewesha maksudi ili kukwamisha Yanga kupata haki Yao ili siku 21 zipite na Yanga asipate haki yake, huu ni uhuni wa wazi wa TFF

Kuna tetesi TFF Kwa mkono wao walijipenyeza CAS na kuishawishi iikandamize Yanga

Sasa TFF kama wanaweza wakaishushe Yanga daraja au waikate points 15 tuone

Huu ni muda wa Yanga kuonyesha ukubwa wake
==

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/Α/11298.

CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.

Lakini kutokana na uonevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Uongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.

Aidha, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.

Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini.
View attachment 3325134
Yanga ni vichaa.
 
Mkuu ushabiki inawatawala hadi watu wanakosa mawazo mazuri ya kuweza kuishauri mamlaka zinazohusika kwani wanapita pia hapa jukwaani kuona maoni ya wadau wa mpira.

Tupunguze ukarakara tutoe mawazo yenye mashiko.
Ukisema hakuna mbwa wa kugomea mechi au kuishusha timu ni kukosa uanamichezo.
Tuwashauri kwanza bodi ya ligi watoe adhabu kwa waliosababisha mechi kuhairishwa kwanza.

Tukiendelea hivi kila wakati wahuni wachache watakuwa hawajajiandaa vyema na mechi then wanaleta taharuki then bodi wanahairisha mechi kwasababu wanatambua kuwa hawataadhibiwa bali timu zitalazimishwa kukubali tarehe ya mechi itayopangwa na bodi ya ligi.
Bodi ya ligi iliahirisha mechi sio kwasababu za Yanga kuwazuia Simba wasifanye mazoezi.

Kama unafikiria hivi basi madai ya Yanga kukosa imani na TFF pamoja na Bodi ya ligi yatakuwa na mashiko.

Kama utakuwa unafikiria hivyo ndio sababu basi una haki kuona Yanga wapo sahihi.

Lakini

Bodi ya ligi iliahirisha mechi sio kwasababu Simba waligomea kucheza huo mchezo.

Ni viashiria vya mambo mengi nje ya pitch ikiwemo rushwa na vurugu.

TFF na Bodi ya ligi wameahirisha mechi kupitia kanuni ya 34:1 inayowapa mamlaka Bodi ya ligi kuahirisha mechi kwasababu zozote watazoziona wao.

Nisomeke vizuri hapo kwenye hii kanuni naomba ni Bodl na kuweka italic: Ni bodi ya ligi wao pekee ndio wenye mamlaka ya kuahirisha mechi kupitia sababu zozote ambazo wao wataziona.

Na ukumbuke mwanzo wa kila msimu hizi kanuni huwa zinapitiwa na kufanyiwa marekebisho na hatimaye huzirasimisha kwa kupigiwa kura na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi.

Kwa hiyo ni ujinga kupoteza muda ku argue swala hili na mtu ambaye hadi timu yake ilikuwa sehemu ya kubariki hizi kanuni.

Ni ujinga kufikiria mgomo wa Yanga kuhusu Derby una mashiko yeyote.

Ni ujinga kuona Yanga inaonewa na TFF na CAS kwasababu wote hao wametupilia mbali madai yake.
 
Hizo viashiria wamezisema wapi mkuu?
Mwisho unajisikiaje kutaja neno ujinga pale unapojenga hoja yako?
 
Karia kuwa baba mlezi
kuendekeza ushabiki Kwa Simba ujue utapendwa na Wana Simba na utachukiwa na Wana Yanga.

Mpaka Sasa karia ,TFF ,bodi ya ligi na kamati ya masaa 72 imeshindwa kuendesha Mpira wa Tz kwa kufuata kanuni na sheria mlizojitingia wenyewe ,mmekuwa mkiendesha Mpira kwa kuongozwa na mihemko .Hata kiongozi wa bodi ya ligi amekiri wazi kushindwa kutumia kanuni na akaomba hekima na busara zitamalaki zaidi.

Pia Kuna baadhi ya vigogo wa nchi wanatumia madaraka yao vibaya wanasahau wao ni viongozi wakubwa sana wanategemewa na wananchi wote sio kundi la wanachama wa klabu Fulani ya Mpira wa miguu wanayoshabikia Kwa leisure wanayopata kwa madaraka wanayoshikilia iliwatosha wao kuwa wasuluhishi migogoro ya mpira yanapojitokeza badala ya kushangilia timu hizi za Yanga na Simba zinapoonyeshana ubabe.

Kama kweli Karia ataipa ushindi Simba point 3 na kuipa Simba ubingwa wa ligi na kuinyang'anya Yanga point 15 ,Karia atapandikiza chuki kwenye tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu zinazoweza kuzalisha fujo michezoni inayoweza kukimbiza wadhamini ambao imetumika jitihada kubwa kuwapata na wadhamini wakijitoa ligi yetu itakosa mvuto na tutarudi kule kule kwa timu kushindwa kumudu gharama za kuendesha timu zao kwenye mechi za ligi hata za mashindano ya Africa.

Itasaidia Nini kama ikabaki Simba peke yake anakuwa bingwa na peke yake ndiye awakilishe nchi kwenye mashindano ya Afrika hapo tutakuwa tunaenda mbele au tunarudi nyuma.

Karia na TFF yake wasitumie ubabe katika kuongea na Yanga katika suala hili la mechi ya Derby ,Karia kubali kuwa mpole tumia busara kupunguza jazba za Yanga maana ukweli hakuna udhibitisho kuwa Yanga alihusika kuwazuia Simba wasifanye mazoezi maana police walikuwepo hakuna aliyekamatwa kwa kuwafanyia simba fujo kusema tu mabaunsa wa Yanga waliwazuia simba he mabaunsa wanatambulika na TFF katika uongozi wa Yanga mbona Police wamekataa hakukukuwa na fujo yoyote Wala hakukuwa na tishio lolote la usalama ila kinachojulikana wazi Simba aliogopa kupeleka timu uwanjani baada ya wachezaji wake nyota 3 Camara,chemalone na kagoma kuwa majeruhi.

Simba sasa ipo tayari kucheza Debi sababu wachezaji wao wote wamepona Yanga Sasa wanagoma kucheza wanaona wataonekana wanabuluzwa na Simba na TFF hivyo.

Kinachotakiwa kauli za kubezana zinyamizishwe timu zishauriwe vizuri TU zicheze kwa maendeleo mapana ya soka letu.
 
Hao TFF hawaaminiki ni wahuni tu wana upande wanashabikia kwenye hii kesi

Sasa kama wana uweZo wapange tarehe ya mchezo, waipoke Yanga points 3 na waishishe Yanga daraja wao si wababe
Wacha tuone
Hamna imani na tff , sasa hizi mechi nyingine mnacheza za nini wakati hizo mechi msimamizi wake ni huyo huyo tff na bodi ya ligi?

Mkiambiwa zile supu za vibudu zilikuwa za kuwazindika muwe kama mikondoo mnarefusha midomo.Lakini ukweli ndiyo huo.
 
Back
Top Bottom