Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja

Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja

TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee

Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni uvunjifu wa usalama ambapo watu wenye taaluma za usalama police walikanusha kuwa tarehe 8 March hapakuwa na uvunjifu wa amani

Kuhusu Rushwa, TAKUKURU walikanusha kutambua rushwa yoyote kwenye huo mchezo

TFF wameinyonga Yanga na Karia alionesha kuiunga bodi ya ligi na Simba mkono

TFF waligomea kusikiliza kesi na kuichelewesha maksudi ili kukwamisha Yanga kupata haki Yao ili siku 21 zipite na Yanga asipate haki yake, huu ni uhuni wa wazi wa TFF

Kuna tetesi TFF Kwa mkono wao walijipenyeza CAS na kuishawishi iikandamize Yanga

Sasa TFF kama wanaweza wakaishushe Yanga daraja au waikate points 15 tuone

Huu ni muda wa Yanga kuonyesha ukubwa wake
==

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/Α/11298.

CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.

Lakini kutokana na uonevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Uongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.

Aidha, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.

Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini.
View attachment 3325134
Hamieni Zanzibar
 
Sasa wataipigania wapi hiyo haki? Watacheza tuu waache siasa, kuna tinu
Uonevu upo nje na ndani ya uwanja
Kwanini bodi ya ligi ilihairisha mechi kihuni?
Kwanini Rais wa TFF Karia alionesha wazi yupo upande wa bodi ya ligi na Simba?
Kwanini bodi ya ligi walitoa waraka mapema ya kupanga tarehe ya mchezo bila kusubiria hatua za Yanga kama atarejesha kesi Ttinunenda kachezr wewe acha kulalama, mbona husemi unavyochota point za bwerere kutoka wadhaminiwa wa gsm!

Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja

Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja

TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee

Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni uvunjifu wa usalama ambapo watu wenye taaluma za usalama police walikanusha kuwa tarehe 8 March hapakuwa na uvunjifu wa amani

Kuhusu Rushwa, TAKUKURU walikanusha kutambua rushwa yoyote kwenye huo mchezo

TFF wameinyonga Yanga na Karia alionesha kuiunga bodi ya ligi na Simba mkono

TFF waligomea kusikiliza kesi na kuichelewesha maksudi ili kukwamisha Yanga kupata haki Yao ili siku 21 zipite na Yanga asipate haki yake, huu ni uhuni wa wazi wa TFF

Kuna tetesi TFF Kwa mkono wao walijipenyeza CAS na kuishawishi iikandamize Yanga

Sasa TFF kama wanaweza wakaishushe Yanga daraja au waikate points 15 tuone

Huu ni muda wa Yanga kuonyesha ukubwa wake
==

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/Α/11298.

CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.

Lakini kutokana na uonevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Uongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.

Aidha, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.

Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini.
View attachment 3325134
Watacheza tuu kenge nyie
 
Huu ni ujinga tu... Timu yenye viongozi makini, haiwezi kufanya uamuzi kama huu. Kwanza ukitaka kujua hawa sio makini, ni kitendo cha kupeleka kesi ambayo haija sikilizwa popote, mahakama ya rufaa. Hapo utaona maamuzi yote haya yanafanywa kwa jazba tu za kitoto.
 
Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja

Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja

TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee

Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni uvunjifu wa usalama ambapo watu wenye taaluma za usalama police walikanusha kuwa tarehe 8 March hapakuwa na uvunjifu wa amani

Kuhusu Rushwa, TAKUKURU walikanusha kutambua rushwa yoyote kwenye huo mchezo

TFF wameinyonga Yanga na Karia alionesha kuiunga bodi ya ligi na Simba mkono

TFF waligomea kusikiliza kesi na kuichelewesha maksudi ili kukwamisha Yanga kupata haki Yao ili siku 21 zipite na Yanga asipate haki yake, huu ni uhuni wa wazi wa TFF

Kuna tetesi TFF Kwa mkono wao walijipenyeza CAS na kuishawishi iikandamize Yanga

Sasa TFF kama wanaweza wakaishushe Yanga daraja au waikate points 15 tuone

Huu ni muda wa Yanga kuonyesha ukubwa wake
==

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/Α/11298.

CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.

Lakini kutokana na uonevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Uongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.

Aidha, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.

Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini.
View attachment 3325134
IMG_20240507_142356.JPG
 
View attachment 3325135
1000285438.jpg
 
Hamna kitu hapo, waone vile utadhani kichwani kuna kitu.

kikao Yanga.jpg
 
Huu ni ujinga tu... Timu yenye viongozi makini, haiwezi kufanya uamuzi kama huu. Kwanza ukitaka kujua hawa sio makini, ni kitendo cha kupeleka kesi ambayo haija sikilizwa mahakama ya rufaa. Hapo utaona maamuzi yote haya yanafanywa kwa jazba tu za kitoto.
IMG_20250330_155626.JPG
 
Back
Top Bottom