ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
- Thread starter
- #81
Yanga ni bingwaYanga limechungulia limeona litadhalilika mbele ya mpanzu hivyo wanachokifanya ni kwamba:_
Ukifungwa na Simba ubingwa huna.
Usipocheza na Simba ubingwa huna.
Yanga wanachagua kutocheza na simba ili kuwahadaa mishabiki yao mipumbavu kwamba imekosa ubingwa kisa kanuni zilivunjwa, ukweli ni kwamba "" HII SIMBA YA MOTO NA YANGA HATOBOI""
Yanga ameifinga 5imba mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5