Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

Kwani mnalazimishwa kucheza? Msipeleke timu uwanjani muone mnavyofyekwa point 15 ngumbaru wakubwa nyie na yule mwanasheria wenu ambae hajawahi kushinda kesi tangu azaliwe kazi mnayo.
Ndio tunasubiri hicho kitokee
 
Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja

Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja

TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee

Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni uvunjifu wa usalama ambapo watu wenye taaluma za usalama police walikanusha kuwa tarehe 8 March hapakuwa na uvunjifu wa amani

Kuhusu Rushwa, TAKUKURU walikanusha kutambua rushwa yoyote kwenye huo mchezo

TFF wameinyonga Yanga na Karia alionesha kuiunga bodi ya ligi na Simba mkono

TFF waligomea kusikiliza kesi na kuichelewesha maksudi ili kukwamisha Yanga kupata haki Yao ili siku 21 zipite na Yanga asipate haki yake, huu ni uhuni wa wazi wa TFF

Kuna tetesi TFF Kwa mkono wao walijipenyeza CAS na kuishawishi iikandamize Yanga

Sasa TFF kama wanaweza wakaishushe Yanga daraja au waikate points 15 tuone

Huu ni muda wa Yanga kuonyesha ukubwa wake
==

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/Α/11298.

CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.

Lakini kutokana na uonevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Uongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.

Aidha, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.

Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini.
View attachment 3325134
 
Attachments

  • Screenshot_20250504-094054.png
    Screenshot_20250504-094054.png
    571.1 KB · Views: 19

TFF /Bodi ya Ligi Walaumiwe toka maamuzi ya CAS mpaka leo hawajatangaza Tarehe ya mechi wana subiri nini waje kusema hawachezi wakati mechi imetangazwa ndo niatona wanaume wamekaza ila kwa sasa ni Ukanjanja tu.
 
Hii imekwisha
 
Kama Karia na TFF yake wana huo ubavu wapange tarehe ya mchezo, waikate Yanga points na waishushe daraja
Baadae nitakuja na mada ya jinsi gani mnatumia janja janja ya kutafuta upenyo wa kwenda CAFCC msimu ujao.
 
Simba sasa kazi iliyopo ni kushinda viporo vyote vilivyobaki tayari kuna pointi tatu za bure hapa zinatusubiri
 
Baadae nitakuja na mada ya jinsi gani mnatumia janja janja ya kutafuta upenyo wa kwenda CAFCC msimu ujao.
Yanga bingwa
Hilo unaloliomba haliwezi kutokea
 
Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja

Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja

TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee

Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni uvunjifu wa usalama ambapo watu wenye taaluma za usalama police walikanusha kuwa tarehe 8 March hapakuwa na uvunjifu wa amani

Kuhusu Rushwa, TAKUKURU walikanusha kutambua rushwa yoyote kwenye huo mchezo

TFF wameinyonga Yanga na Karia alionesha kuiunga bodi ya ligi na Simba mkono

TFF waligomea kusikiliza kesi na kuichelewesha maksudi ili kukwamisha Yanga kupata haki Yao ili siku 21 zipite na Yanga asipate haki yake, huu ni uhuni wa wazi wa TFF

Kuna tetesi TFF Kwa mkono wao walijipenyeza CAS na kuishawishi iikandamize Yanga

Sasa TFF kama wanaweza wakaishushe Yanga daraja au waikate points 15 tuone

Huu ni muda wa Yanga kuonyesha ukubwa wake
==

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/Α/11298.

CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.

Lakini kutokana na uonevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Uongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.

Aidha, Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.

Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini.
View attachment 3325134
leteni timu acheni janjajanja
 
Hili sakata linamwondoa Karia na TFF yake inayoibeba 5imba
Yanga HATUCHEZI
Linamuondoa kwenda wapi?

Ndio mlivyodanganywa na Simon Patrick?

Ratiba ikipangwa halafu kenge yeyote asitokee mbona inafahamika nini kinafuata.

Mjipange kucheza na Ken Gold msimu ujao
 
Timu inadekezwa na kubebwa mpaka inakera! Inajiamulia tu kususia mchezo eti kwa kisingizio cha kitoto cha kuzuiwa na viongozi wa uwanja kufanya mazoezi siku ya mwisho, huku wakiwa hawajatoa taarifa!

Ukija kwenye mechi zao za ligi nako unakutana na waamuzi wao special na wanaochezesha mechi zao tu! Japhet Smart, Tatu Malogo, na takataka nyingine inayoitwa Kyombo/Kayombo nani sijui!! Na hawa waamuzi lazima kwa namna yoyote ile waipe hiyo timu ushindi hata kwa kupora haki za timu pinzani!!

Huu kama siyo ujinga ni nini!
 
Yanga limechungulia limeona litadhalilika mbele ya mpanzu hivyo wanachokifanya ni kwamba:_
Ukifungwa na Simba ubingwa huna.
Usipocheza na Simba ubingwa huna.

Yanga wanachagua kutocheza na simba ili kuwahadaa mishabiki yao mipumbavu kwamba imekosa ubingwa kisa kanuni zilivunjwa, ukweli ni kwamba "" HII SIMBA YA MOTO NA YANGA HATOBOI""
 
Linamuondoa kwenda wapi?

Ndio mlivyodanganywa na Simon Patrick?

Ratiba ikipangwa halafu kenge yeyote asitokee mbona inafahamika nini kinafuata.

Mjipange kucheza na Ken Gold msimu ujao
Nimekwambia hakuna mbwa wa kuniletea huo umaku Yanga

Huu ndo muda wa Yanga kuonyesha ukubwa wake
 
Back
Top Bottom