MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
fatilia hata baadh ya vyombo hvo vilikana havikupata taarifa ya uvunjifu wa amani wewe upo nchi gani.Unathibitisha vipi kuwa hakutoa taarifa?
fatilia hata baadh ya vyombo hvo vilikana havikupata taarifa ya uvunjifu wa amani wewe upo nchi gani.Unathibitisha vipi kuwa hakutoa taarifa?
Yaaa !! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Wangate hapo hapo kama kushuka washuke tuu. Kwani kupanda sii watapanda tuu msimu mmoja but watakuwa wameonyesha msimamo
Kweli UMBUMBUMBU ni MZIGO. Wenzako wanazingumzia kutokua na Imani kuhusiana maamuzi ya mechi ya 08/03/2025 yaliyo na yatakayotolewa na hao wahuni.Ni kweli jamaa wenye akili ni wawili tu, sasa kama hamna imani na mamlaka mbona mechi zingine za ligi mnacheza
Ndiyo, ndiyo, Twende mbele, tugange yajayo.Ila twende mbele turudi Nyuma..Au basi twende tu mbele
Wasenggg wamezingua sanaa
Takukuru ya Temeke ndio ilisema haijapokea taarifa yeyote.fatilia hata baadh ya vyombo hvo vilikana havikupata taarifa ya uvunjifu wa amani wewe upo nchi gani.
TAKUKURU ni taasisi zinawasilianaTakukuru ya Temeke ndio ilisema haijapokea taarifa yeyote.
Inawezekana malalamiko yakawa yamepelekwa Takukuru ya sehemu nyingine.
Hilo pia usisahau kulifikiria kabla hujaiendea conclusion kuwa TFF hawajapeleka mashtaka Takukuru.
Jifunze kuandika kwanzaTff no Genge la Wahuni waliojificha kwenye kuongoza soka.
Wanayakiwa wajibu barua ya Yanga waliopelekewa awali wamekaa kimya.
Karia, Karia, Karia nakuita mara 3!
Nani kakudanganya uongo mbaya kama huu?TAKUKURU ni taasisi zinawasiliana
Hiyo jinai kama ilitendeka ilitendeka temeke mahali mchezo ulikuwa au ulitaka kusikia ipo TAKUKURU ya Ikungi
Polisi ndo watu wenye taaluma ya kutambua matishio ya usalama na kuyadhibiti hawa TFF utaalam wa kujua intelejensia ya usalama waliisomea wapi?
Anyway walete report inayoambatana na adhabu za wale waliokwamisha derby isichezwe wenye akili nyingi tutapata mwanga
Bodi ya ligi waje na report ya kitaalam na ushahidiNani kakudanganya uongo mbaya kama huu?
Unataka kusema rushwa iliyoripotiwa Mbeya taarifa zake zinapatikana ofisi zote za Takukuru?
Nataka uweke sawa hii statement kwanza kabla hatujafika hatua zijazo.
Hujajibu hojaBodi ya ligi waje na report ya kitaalam na ushahidi
Na wahusika waadhibiwe tuendelee na ratiba
Kwanini wanaficha hiyo report
Kama wana makosa wawe waungwana wakiri na wajiuzulu, huo ndo uungwana
Sio ubabe wao wa kipumbavu
Simba na Yanga ni kaka na dadaWapewe tu
Uhuni haukubaliki
Hapo ukute viongozi wako wamewaza namna ya kuzikimbia mechi za klab bingwa wakaamua tususe tukatwe point 15 tusishiriki aibu ya kutolewa makundi.Bodi ya ligi waje na report ya kitaalam na ushahidi
Na wahusika waadhibiwe tuendelee na ratiba
Kwanini wanaficha hiyo report
Kama wana makosa wawe waungwana wakiri na wajiuzulu, huo ndo uungwana
Sio ubabe wao wa kipumbavu
Tususe huwezi jua tunaweza katwa point 15 kuliko kupita afu tuishie makundi. Alisika mwanachama mwanaYanga asiye JK wala Mzee Manara.Unaongeleaje CAFCL wakati timu lako lipo mashindano ya akina mama
ni kama demu vile anarukaruka mwisho wa siku imoYaani hili sakata la Derby, Simba ilitoa taarifa moja tena paragraph tatu ikatulia, Yanga sijui barua ya 46 hii juu ya hili sakata😂😂