Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
So mmeghair regime changeunajua upo JF habari zote zipo humu so uongo kadanganye wanao ambao hawasomi news. Kasikilize Lengo la Vita la Netanyahu kwanza sio kubwabwaja bwabwaja tu kama wale watu wa viroba
Israel haiui raia? Hebu Angalia basi walau Al Jazeera uone Israel leo imeua raia wangapi huko Gaza!Iran hawana tofauti na Hamas kupiga kwao ni kwa ajili ya kusumbua raia ndio ujue chuki za Muslims kwa Jews.. Maeneo yote ya Jeshi hawaoni
Nimemuangalia Ali Hashem wiki nzima, tena akionyesha mabomu ya Israel yakianguka Tehran.Al Jazeera inao correspondents wake Tehran.
Ali Hashem nimetoka kumwangalia muda si mrefu akiripoti toka Tehran.
Al Jazeera inapatikana kirahisi sana YouTube. Tazama tu na utawaona akina Dorsa Jabari wakiripoti toka ndani ya Tehran.
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Kwa sku 10 ikipigana na Iran, Israel imeua raia 800. Jioni ya leo 92 wameuawa. Wote ni watoto na akina mamaIsrael haiui raia? Hebu Angalia basi walau Al Jazeera uone Israel leo imeua raia wangapi huko Gaza!
Hata katika hii vita, Israel imeua raia wengi wa Iran kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel!
Sijui kwa nini watu mnajitoa fahamu kiasi hicho.
HAKUNA CHA MAANA HUYO IRAN ALICHOKIFANYA HII VITA BADO MBICHI MNO WEWE HATA AKILI HUNA YANI LEO RWANDA APIGANE NA TANZANIA NA BADO TANZANIA IENDESHWE WHAT ISRAEL DID HAUTAKUJA TENA KUSIKIA SIJUI HEZBOLLAR
HAMNAS
PUMBU YEMEN
WAMESHAJUA MKIFANYA USENGE TUNAENDA USO KWA USO NA HII NI RECORD ISRAEL IMEWEKA KATA MIKIA KISHA MAMA YAO
Hawa wamejitakia wenyewe, si wa kuwaonea huruma hata kidogo.Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Endeleeni kubashiri lakini kinachojulikana vinu vya nyukilia vimesambaratishwa!Umefafanua vizuri,kweli inavyoonekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko tunavyoiona.
Sisi hatuna maneno mengi. Tunachojua ni kwamba vinu vya nyuklia viko mbendembende!Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Sijui upo upande gani wa DuniaSisi hatuna maneno mengi. Tunachojua ni kwamba vinu vya nyuklia viko mbendembende!
Upo sahihi kwa 10000%! Nilisoma kwenye credible source moja kwamba media zimepangiwa nini cha kuripoti na nini cha kutoripoti. Nakumbuka last year wakati mapigano na Hamas yapo kwenye kilele, wakaipiga ban Aljazeera na kuifungashia virago! Watu tukajua kwa sababu ni media ya Qatar itakuwa too bias! Wakati tunaelekea kumaliza mwaka wakaiwekea vikwazo hadi Heartz ambalo ni Gazeti la Kiisrael! Sasa ikiwa hakukuwa na significant or serious damage kutoka kwa Hamas na bado Israel walifanya censorship, vipi kuhusu sasa!Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Israel ndio anaonewa na majirani zake. Na lengo lao linajulikana ni kuifuta dola ya Israel pale Middle East. Inachofanya Israel ni kujilinda tuHonestly we couldn’t care less, nyoyo zetu zimesuuzika israel kupitia yale anayopitisha wenzie miaka yote. Mtu gani kila siku yeye yuko vitani 😏 nachukia uonezi mimi 😡
nimeona 40.Israel haiui raia? Hebu Angalia basi walau Al Jazeera uone Israel leo imeua raia wangapi huko Gaza!
Hata katika hii vita, Israel imeua raia wengi wa Iran kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel!
Sijui kwa nini watu mnajitoa fahamu kiasi hicho.
Unamaanisha hii?! Manake habari za karibuni zinasemaSisi hatuna maneno mengi. Tunachojua ni kwamba vinu vya nyuklia viko mbendembende!View attachment 3382046
Kwanza angalia idadi ya wakimbizi waliokimbia nchi ndo utajua nani kachakazwaHakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Wakati huo wanajipanga watakuwa wamechelewa maana inaonyesha kabisha kuwa muiran yupo mbele ya mudaLakini pia Israel imefanikiwa kurudisha nyuma mipango ya nuclear ya Iran kwa miaka kadhaa japo imepata hasara kwa kiasi kikubwa.
Nadhani hii itakua changamoto kubwa kwa Wayahudi, next time itabidi wajipange upya ili kukabiliana na maadui zake bila kutegemea usaidizi wa Marekani na washirika wake wa magharibi.