Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

K
Honestly we couldn’t care less, nyoyo zetu zimesuuzika israel kupitia yale anayopitisha wenzie miaka yote. Mtu gani kila siku yeye yuko vitani 😏 nachukia uonezi mimi 😡
Well kuna watu wastarab like you hapa tyngekuwa na wasema kweli kama ww tungefunguja akili
 
Tangu siku ya kwanza Muajemi alivyoanza kujibu mapigano, wajuvi wa kivita hasa wastaafu wa majeshi ya Marekani waliowahi kutumikia jeshi lao kwa ngazi za juu kila walipokuwa wakihojiwa walikiri kabisa Israel ataipoteza hii vita. Kuna mmoja alikwenda mbali na kusema iwapo Marekani na washirika wake wataingilia kati basi hali ya Mashariki ya kati itakuwa mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa, ikawa tulivyoona
 
Lakini hatujaona hata ndege moja ya Iran ikiruka kwenda kupiga Israel 😂😂😂 , Israel alikuwa anaingia Iran anapiga anavyotaka, mzee wa shuka wamemwacha ili afikirie mara mbili kuhusu ambition yake ya nuclear
Ndege za nini yeye anamchapa kwa kubonyeza kitufe
 
Leta na picha za upande wa pili inaoekana iran wanalenga makazi ya watu, kama wayahudi wangelenga makazi ya watu ingekuwaje, uko very biased mjomba, watu ambao hamjo nuetral mnapwnda kuandika mada ndeeeefu kulazimizha kushindilia mada zenu, tulieni, humu jf tunauwezo wa kichambua pumba na mchele halafu wote tuko bongo hatuko iran wala israel.
 
Iron dome zipo katikati ya makazi ya watu. Askari wa Israel walikuwa wanafanya nini Tel Aviv
Rais wangapi wamefariki Israel na wangapi wamefariki Iran

Habari zilizopo ni kwamba vituo vya kijeshi vilishambuliwa hadi Israel ikaomba cease fire. Hayo kasema mkubwa Trump. Ombi lilipitia Qatar.

Kama Israel haipigi makazi ya watu Gaza kuna nini kilichobaki? 90% ya majengo yameharibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…