mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Habari zingine kuhusu yeye ni propaganda tu....kaulize uganda au waganda nini kizuri alifanya hata kimoja tu, zaidi ya kutaka kuifanya uganda iwe nchi ya kiislam. alinyangánya biashara kwa wahindi akafukuza wazungu na kuwa mzinzi mkuu. ukimsikiliza hata kwenye clip zake tu utajua alikuwa mwanadamu mwenye IQ ndogo sana kama ubongo wa samani pamoja na kuwa na mwili mkubwa.
Sahv yenyewe kuna viongozi wanafanya mabaya Kuliko hata yeye
Ova