Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

Una akili ndogo kama mwenyekiti wa chama chenu...kazi kurembua tu
Inawezakuwa nina akili ndogo ila sio kuwa mwanachama au kushabikia chama chochote cha siasa hayo nawaachieni ninyi, najua bongo ukifuatilia siasa na hasa ukiwa mpinzani unaonekana una akili kubwa.
 
Si ajabu miaka mingi ijayo huko watoto wajukuu zetu watakuwa wanaambiwa Jiwe alikuwa anachinja watu hadharani na kula nyama zao.
 
Wakimaanisha kuwa CCM ( Chama Tawala ) ndiyo Kuna Mapopoma ( Wapumbavu ) wengi au?
 
Si ajabu miaka mingi ijayo huko watoto wajukuu zetu watakuwa wanaambiwa Jiwe alikuwa anachinja watu hadharani na kula nyama zao.
Kama hata kabla tu ya kutimiza mwaka wake Mmoja tokea Afariki tayari tumeshabadili yale yake yote huku tukimpenda na Kumuenzi Kinafiki na kwa Kumsanifu sitoshangaa Vizazi vijavyo vikija Kuaminishwa kuwa alikuwa ni zaidi ya hata huyu Idi Amin Dada Kiukatili.
 
Jinsi mnavyowazungumzia hao madikteta utadhani hapa duniani tumekuja kufanya demokrasia na kwamba demokrasia ndio njia ya kwenda peponi, nasema hivyo kwa sababu unakuta mtu ana machafu yake kibao kiasi kwamba kinachomzuia yeye kuwa huko kuzimu ni kwa sababu hajafanya tu bado ila akifa nae anaenda huko kuzimu kutokana na madhambi aliyokuwa nayo ila ajabu mtu huyo unakuta amejisahau ya kwake na kujiona ni msafi kisa tu ni muumini wa demokrasia hapa duniani.

Hakuna pepo ya wapenda demokrasia.
Dikteta yupo kwenye dhambi za kundi la wauaji wote hata kama umeua kwa mawazo tu mtakua selo moja na dikteta aliyeua maelfu.Dikteta wote ni luciferous kuna nguvu iliyovaa mwili wao kwa lugha ingine wameuza nafsi zao kwa shetani kwa common interests za kimikataba ya wino wa damu.Shetani anampa power dikteta na dikteta anamlipa shetani damu za watu kwa kuwatoa kafara, madikteta wote ni lazima wawe na vikosi vya wasiojulikana.Hawa Kazi yao kuu ni kuuwa watu kwa maagizo ya mtawala au dikteta.Nyuma ya dikteta yupo lucifer.
Wapo wa kidemokrasia lakini wanatoa kafara za watu kupitia ajali kubwa kubwa mfano meli,ndege,nk.
Nguvu za utawala utoka kwa Mungu au kwa shetani, mwanadamu amepewa freedom yeye ya kuchagua.
 
Kama hata kabla tu ya kutimiza mwaka wake Mmoja tokea Afariki tayari tumeshabadili yale yake yote huku tukimpenda na Kumuenzi Kinafiki na kwa Kumsanifu sitoshangaa Vizazi vijavyo vikija Kuaminishwa kuwa alikuwa ni zaidi ya hata huyu Idi Amin Dada Kiukatili.
Ukishamiliki kikundi cha wasiojulikana hata utende mema aikuondolei cheo cha dikteta,KILA mmoja uchagua aitwe nani duniani asipokuwepo
 
Dikteta yupo kwenye dhambi za kundi la wauaji wote hata kama umeua kwa mawazo tu mtakua selo moja na dikteta aliyeua maelfu.Dikteta wote ni luciferous kuna nguvu iliyovaa mwili wao kwa lugha ingine wameuza nafsi zao kwa shetani kwa common interests za kimikataba ya wino wa damu.Shetani anampa power dikteta na dikteta anamlipa shetani damu za watu kwa kuwatoa kafara, madikteta wote ni lazima wawe na vikosi vya wasiojulikana.Hawa Kazi yao kuu ni kuuwa watu kwa maagizo ya mtawala au dikteta.Nyuma ya dikteta yupo lucifer.
Wapo wa kidemokrasia lakini wanatoa kafara za watu kupitia ajali kubwa kubwa mfano meli,ndege,nk.
Nguvu za utawala utoka kwa Mungu au kwa shetani, mwanadamu amepewa freedom yeye ya kuchagua.
Mkuu naona unajizungusha tu hiyo nguvu unaodai wanayo madikteta hadi sasa hujaweza kuielezea maana kama kutiiwa na jeshi nishakwambia hata wasiokuwa madikteta wanatiiwa na jeshi pia, hayo ya kutoa kafakara mwenyewe umesema kuwa hata viongozi wa kidemokrasia nao hutoa kafara za damu za watu sasa sijui point yako ni ipi hasa?

Nachokushauri wewe angalia na wewe madhambi yako na kuangalia jinsi ya kujisafisha maana hakuna pepo ya waumini wa demokrasia huko.
 
Ukishamiliki kikundi cha wasiojulikana hata utende mema aikuondolei cheo cha dikteta,KILA mmoja uchagua aitwe nani duniani asipokuwepo
Wasiojulikana huwa wapo tu ndio maana tuliona Dr. Ulimboka alivyoshughulikiwa na watu wasiojulikana bila kusahau na Mtikila.
 
Mkuu naona unajizungusha tu hiyo nguvu unaodai wanayo madikteta hadi sasa hujaweza kuielezea maana kama kutiiwa na jeshi nishakwambia hata wasiokuwa madikteta wanatiiwa na jeshi pia, hayo ya kutoa kafakara mwenyewe umesema kuwa hata viongozi wa kidemokrasia nao hutoa kafara za damu za watu sasa sijui point yako ni ipi hasa?

Nachokushauri wewe angalia na wewe madhambi yako na kuangalia jinsi ya kujisafisha maana hakuna pepo ya waumini wa demokrasia huko.
Nilishakupa shule labda tu ujaelewa kuhusu neno nguvu.Nguvu ni uwezo wa kutenda ulio nyuma yako kama ni wa kibinadamu au usio wa kibinadamu. Jeshi umtii dikteta kwa maana ya wakuu wa jeshi kunufaika na utawala wa dikteta.
Hakuna mnufaiko Hakuna utii,ndo maana dikteta uweka watu wake sekta zote kuu Ili kulinda maslai yake kwa ujira wa kulipwa au kupendelewa zaidi kuliko wengine.
 
Wasiojulikana huwa wapo tu ndio maana tuliona Dr. Ulimboka alivyoshughulikiwa na watu wasiojulikana bila kusahau na Mtikila.
Wote waliowatuma kuuwa watu haijalishi na watawala wa kidikteta au kidemokrasia gereza lao ni moja kuzimu
 
His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hajj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.
 
tutajie maendeleo yeyote aliyoyafanay idi amini kwa kipindi chote alichotawala, zaidi ya kufukuza wahindi na kunyangánya/kuua biashara zao, kutupa vilema mto kagera, kula nyama za watu na kulala na wanawake.
Za kuambiwa changanya na zakwako in JK voice
 
Idd Amin Dada,,alikuwa ni muislam Safi kabisa.

Aliponzwa na kuwakaribisha magaidi wa kipalestina mwaka 1978 pale Entebbe airport.
Magaidi wa kipalestina waliteka ndege iliyosheheni waisrael na kuilazimisha kutua Uganda kwa msaada wa Amin..
Huku wakidai serikali ya Israel kuondoka kwenye maeneo ya Gaza yaliyokuwa yanakaliwa kimabavu na Israel.

Amin aliundiwa zengwe na inchi za magharibi pamoja na mataifa yanayopinga Islamic countries kwa kipindi kile..

Nyerere na Kenyatta wote wakiwa wakatoliki waliongoza vita vile vyema kumkimbiza Amin.

Huku Amin akisaidiwa na inchi za kiislam ikiwemo Libya nk.

Amin ilikuwa ni lazima apigwe na kuondolewa Uganda sababu ya udini.

Hadi leo Uganda misikiti ni mingi kuliko makanisa.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Nimekuja kugundua maneno mengi yanayoongelewa juu yake ni ya kutengeneza tumemezeshwa sifa zake mbaya toka tupo wadogo na kuanza kumchukia ila alikuwa mtu tofauti na tunavyo hadithiwa
 
Idd Amin Dada,,alikuwa ni muislam Safi kabisa.

Aliponzwa na kuwakaribisha magaidi wa kipalestina mwaka 1978 pale Entebbe airport.
Magaidi wa kipalestina waliteka ndege iliyosheheni waisrael na kuilazimisha kutua Uganda kwa msaada wa Amin..
Huku wakidai serikali ya Israel kuondoka kwenye maeneo ya Gaza yaliyokuwa yanakaliwa kimabavu na Israel.

Amin aliundiwa zengwe na inchi za magharibi pamoja na mataifa yanayopinga Islamic countries kwa kipindi kile..

Nyerere na Kenyatta wote wakiwa wakatoliki waliongoza vita vile vyema kumkimbiza Amin.

Huku Amin akisaidiwa na inchi za kiislam ikiwemo Libya nk.

Amin ilikuwa ni lazima apigwe na kuondolewa Uganda sababu ya udini.

Hadi leo Uganda misikiti ni mingi kuliko makanisa.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Upo sahihi kabisa mkuu kuna clip moja niliiona maelezo yako yanafanana na ile ya kwenye video.
 
Kenyatta alimwambia nyerere anaongoza maiti yeye anaongoza wagonjwa mda wowote wanaweza kupona na kweli maana mambo yanaonekana jinsi yalivyo
 
Back
Top Bottom