Idd Amin Dada,,alikuwa ni muislam Safi kabisa.
Aliponzwa na kuwakaribisha magaidi wa kipalestina mwaka 1978 pale Entebbe airport.
Magaidi wa kipalestina waliteka ndege iliyosheheni waisrael na kuilazimisha kutua Uganda kwa msaada wa Amin..
Huku wakidai serikali ya Israel kuondoka kwenye maeneo ya Gaza yaliyokuwa yanakaliwa kimabavu na Israel.
Amin aliundiwa zengwe na inchi za magharibi pamoja na mataifa yanayopinga Islamic countries kwa kipindi kile..
Nyerere na Kenyatta wote wakiwa wakatoliki waliongoza vita vile vyema kumkimbiza Amin.
Huku Amin akisaidiwa na inchi za kiislam ikiwemo Libya nk.
Amin ilikuwa ni lazima apigwe na kuondolewa Uganda sababu ya udini.
Hadi leo Uganda misikiti ni mingi kuliko makanisa.
Sent from my M2101K7BG using
JamiiForums mobile app