Yericko Nyerere ni mwehu!Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
View attachment 3438990
Wewe na mm nani ana wenge? Ukisikia neno chadema kinyeleo kinapwita hilo siyo wenge? Kuna tofauti gani kati ya tonetone ya chadema na hii ya ccm? Kwann usihoji kwanza matumizi ya ile ya ccm ubinue makalio na kuhoji ya chadema chama ambacho undai kila siku hapa hakipo?Punguza wenge la ugoro
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Na Bado na hivi hawako kwenye uchaguzi hawatapata hata jero ya ruzuku sijui itakuaje ππHii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Ni mzima wa afyaYericko Nyerere ni mwehu!
unajuaje kama password ya simu ya mmeo imabadilishwa i pale unapo taka ku login je yeye alitaka kufanya nini humo kuiba auHii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Kwa nini nyie majizi Huwa mkigongwa kwenye ukweli mnatukana ?Yericko Nyerere ni mwehu!
lakini wajanja wa chadema waligoma na kukwepa kuchangia tone tone kidigilali na hata ile tone tone kwenye kibakuli kwasabb walijua fika tapeli na kibaka Lema lazima atadokoa kiasi cha pesa au atasepa na kila kitu.Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.