Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

Ukiona hivyo ujue bado anaikubali sana chadema, kimwili yuko chauma ila kiroho yupo chadema!
Huyu hata usiku anaweweseka kwa kuitaja taja chadema!.
Chadema ya lissu ni mwiba mchungu ndio maana figisu za dola hazikomi!
Jamaa aliamini 100% mbowe atashinda ule uchaguzi, kachanganyikiwa hatar
 
Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.

Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya: ----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.



Huko chauma hakuna cha kuongelea pesa za chadema zimamuhusu nini mtu wa chauma si wamepewa pesa 🤮🤮
 
Huko chauma hakuna cha kuongelea pesa za chadema zimamuhusu nini mtu wa chauma si wamepewa pesa 🤮🤮
Mbona wao wanaongelea mambo ya chauma, ccm na ACT?
 
Back
Top Bottom