Ukiona hivyo ujue bado anaikubali sana chadema, kimwili yuko chauma ila kiroho yupo chadema!Hoja za yeriko ni kupambana na cdm na sio kupambania misingi ya Chauma
Kwahiyo nyie CDM ndio mna mandate ya kuzungumzia ACT na Chaumma?? 🤣Hiki kifaranga cha bata hakijui kinahitaji nini? Kishatangulizwa CHAUMA ila kila.kukicha kinazungunzia mambo ya CDM kuna tatizo.
Ebu tuelewesheni vizuri msibadili gia angani kila wakati, Hamshiriki Uchaguzi au Mtazuia Uchaguzi?? Kauli za viongozi wenu zilikuwa zipi?Sasa anapambana na Chadema ambayo hata uchaguzi mkuu haishiriki badala ya kudeal na CCM au ACT vyama ambavyo wanapambana navyo Oktoba
Unaenda kwenye mechi halafu unasajili mchezaji kama huyu, na anataka namba siku ya mechi. Jamaa katangaza nia ya kugombea ubunge Kigamboni, sidhani kama yuko serious kwamba watu wa Kigamboni wanataka mtu asiye na mwelekeo kama yeye.Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Bado ana maumivu makali sana ya kushindwa huko cdm, wangalau John Mrema anaanza kuzoea kwa mbali sasa. Mashahidi wa siri kwenye kesi ya Lisu. "Ukishindwa hakuna kuhama chama" Haya ni maneno ya dhihaka ya Yericko akiamini rushwa za Mbowe zitawapa ushindi team Mbowe.Hoja za yeriko ni kupambana na cdm na sio kupambania misingi ya Chauma
Kwani watu sii wanaendelea kuchanga,ongeeni na makamu msimamshe watu.general election ,mambo ya ubabe wa maisha jifunzeni maisha ya wanayama porini,hawanaga excuses mmoja akizubaa anapokwa kila kitu na dominant preditor,hiyo ni next level,mnasusa uchaguzi kwa faida ya shetani,tunaomba mjifinze kupitia canvores huko mbugani.Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
QumerHii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Haya majitu hovyo sana, seems like nguvu ya CDM ni kubwa sana.Sasa anapambana na Chadema ambayo hata uchaguzi mkuu haishiriki badala ya kudeal na CCM au ACT vyama ambavyo wanapambana navyo Oktoba
Hazinihusu wakati mnaiba pesa zetu za tonetone? Acheni upumbavuHazikuhusu
View attachment 3439098
Mchanganyiko wa ujinga na ushamba.Yericko Nyerere ni mwehu!
Hizi ni siasa za bwawa la mavi!!! Kubwa jinga aache simplicity politicsHii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Wapumbavu sanaKwani nyie ndyo mna haki ya kuwazungumzia wengne, lakini kuzungumziwa hamtaki?
Eti wana demokrasia..
MATAPELI WAKUBWA NYIE