Hii ndio kazi ya CHAUMA ambayo ni tawi la CCM ,hawanadi tena sera zao ila ni kuishambulia CDMHii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Tulikubaliana hakuna kuhama chama!😂😂Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Wewe Yericko ni mtu wa ovyo kupata kutokea. Acha ushamba kuongea maneno ya kubuni. Tafuta ukweli kuliko kupanua domo lako. Mbona ulichelewa kwenda CHAUMMA, umechelewa UBWABWA. Vipi kuhusu huyo mwenyekiti wako wa CHAUMMA anayesema kuwa wanapewa pesa na CCM? Wote hapo pamoja na wewe ni wahuni.Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Asizungumzie hela!?Sasa anapambana na Chadema ambayo hata uchaguzi mkuu haishiriki badala ya kudeal na CCM au ACT vyama ambavyo wanapambana navyo Oktoba
Kwani nyie ndyo mna haki ya kuwazungumzia wengne, lakini kuzungumziwa hamtaki?Hiki kifaranga cha bata hakijui kinahitaji nini? Kishatangulizwa CHAUMA ila kila.kukicha kinazungunzia mambo ya CDM kuna tatizo.
Asizungumzie hela!?
WeziLema karudi toka Canada wakati Yericko akiwa bado Chadema, angezungumza huko...
Kutaja hizo tuhuma muda huu haina msaada wowote kwa yeyote...
Kwa nini nyie majizi Huwa mkigongwa kwenye ukweli mnatukana ?
Jibu swali pesa za tonetone ziko wapi? 😁😁
Bila shaka mkuu unamaanisha "kwa nini asinadi"Huyu jamaa kwanini asinadai Sera za Chama alichohamia? Kuliko kuwa kucha kuhangaika na Chadema?
Lema ni tapeli mkubwa.Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.
****** kweli wewe kwani ukijibu kwa hoja bila matusi unapungukiwa na niniWewe na mm nani ana wenge? Ukisikia neno chadema kinyeleo kinapwita hilo siyo wenge? Kuna tofauti gani kati ya tonetone ya chadema na hii ya ccm? Kwann usihoji kwanza matumizi ya ile ya ccm ubinue makalio na kuhoji ya chadema chama ambacho undai kila siku hapa hakipo?
MAKALA MR. MPOX ALISHAWAPA MATUMIZI YA TONETONE KWAMBA NI KUNUNULIA EBOLA NA MPOX muulize kwanza virusi vimeshafika?
Unadandia mambo kama kasuku ???