Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

Bado ana maumivu makali sana ya kushindwa huko cdm, wangalau John Mrema anaanza kuzoea kwa mbali sasa. Mashahidi wa siri kwenye kesi ya Lisu. "Ukishindwa hakuna kuhama chama" Haya ni maneno ya dhihaka ya Yericko akiamini rushwa za Mbowe zitawapa ushindi team Mbowe.
Lusungo Yericko Nyerere
Ndo wamehama sasa nyie ijengeni chadema yenu!
 
Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.

Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya: ----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.

Huyu kijana mbana anateseka sana?
 
Hazinihusu wakati mnaiba pesa zetu za tonetone? Acheni upumbavu
Wewe kilaza wa Samia ndiye mpumbavu!

Samia ni wakala wa shetani na kinara wa mafisadi hapa Tanganyika!

Funga bakuli lako!
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Huyu mzimu hajielewi. Yeye anasema yupo ni cahdema, ila shida ni Lissu tu
 
Kinana aliwahi kumburuza mahakamani mch Msigwa kwa kukashifiwa. Nashauri kama Lema anazushiwa uongo, afungue shauri la madai mahakamani.
 
Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.

Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya: ----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.

Huyu dogo hana muda mrefu mtakutana na picture zake aki_fi_Rwa nyie tulieni tu.

Hadi sasa mpango upo 75%

Viongozi wa Chadema wala msihangaike kumjibu , kausheni kama hampo , dawa za washamba pori kama hawa ni ndogo sana na at_a_fi_rwa kimzahamzaha na hataamini na miu_no atakatia .
 
Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.

Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya: ----
Waliotutapeli tuchangie tonetone na kwamba wanauhakika kila wiki tutapata bilioni moja, kisha kampeni ikabuma kwakuwa hawaaminiki tena kwa wenye vipato vya kati na vya juu, nakisha kijumbe akatokomea Canada na pasiwedi za salio kidogo la tonetone. Ndio haohao leo wanatupigia kelele kuona maccm wanaanzisha tonetone yao ya bilioni miamoja. Chama cha siasa ni ushawishi, chama kinachoshindwa kushawishi kichangiwe hata 1M kwa siku moja kati ya Watz 70M, Tambua chama hicho kimekufa wamebaki wahuni. Chaumma ni chama kichanga lakini kimeweza kushawishi Watz, Wadau na Wahisani na sasa wanakichangia pesa za kuendeshea chama kwa nguvu kubwa.

Huyu SI alishahama? Ya chadema yanamuhusu nn tena
 
Back
Top Bottom